Huu usafiri wa Boda boda ulipo ingia kwa mara ya kwanza Mwanamke kuupanda ilionekana ni maajabu kwasababu ilizoeleka ni wanaume pekee.
Pili,wanawake walikuwa wakiupanda walikuwa wakikaa kwa style ya kike(Bila shaka hii tunaifahamu),lakini baadae ikaja ikaonekana wanaume wanafaidi sana nao wakaamua kukaa kwenye Boda boda kama wanaume,Hawakuishia hapo tu,bali pia wao walijiongeza zaidi na hasa hawa wadada wa mjini kila wanapokaa kwenye Boda boda basi hubinua viuno na makalio yao ili kuvutia umma wa watu unaomtizama!
Zamani kumbeba mwanamke kwenye Baiskeli au Boda boda na ukamwambia kaa kama mwanaume mnakosana na anaweza asipande hicho chombo chako,lakini baada ya kuhalalisha huu ukaaji ndo mambo yalipovurugikia!,haibu haipo tena siku hizi!
Hivyo,unavyosema kwamba wanaume tuache kupanda boda boda kisa tu zinapendwa wanawake it means tuache kuvaa na suruali pia kwasababu zinapendwa na kuvaliwa na wanawake!
KIMSINGI MI NILIDHANI UWASHAURI WANAWAKE WAACHE KUFANYA VILE TUNAVYOFANYA SISI WANAUME ILI KUTOFAUTISHA KATI YA (KE )NA (ME) na hii ingehusu kuanzia Mavazi mpaka ukaaji kwenye Boda boda!