Nassib nyika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2016
- 962
- 471
Af ulivo hewa eti you use wasap for busines and not social issues,,inaman busines huwez intaract socially???rud shule bashite wewMwanaume hutakiwi kutumia emoji zozote kabisaaaa, i use whatsapp kwaajili ya business only, i don't use for socially issues
Tehteh unapomqoute mtoto wa kike lazima uwe na smile kama hizi [emoji4] ikiwezekana unaenda mbali na vi kiss [emoji8][emoji8] sasa huyu mtoa mada anashindwa kuelewa kila emoj inapahala pakeHa ha ha ha umeona enhee emoji ile yangu nakuwa namkumbusha aende kuoga
Naona wee mwanaume wa mkoani ushazitumia humuLeo siongelei wanaume wa Dar tu, leo ni wote wenye vijitabia vya kutuma Emoji za kipuuzi mbaya zaidi wanatuma hadi kwa wanaume.
Wewe mwanaume rijali kamwe huwezi kuwa na akili ya kutumia hizi Emoji kamwe ;.
View attachment 529309
Asante dada, wewe endelea kutumia emoji tu. Usihofu nitarudi shule hivi karibuni maana naona povu mpaka unatia huruma.Af ulivo hewa eti you use wasap for busines and not social issues,,inaman busines huwez intaract socially???rud shule bashite wew
Du, kweli aliekutia bila malipo alaaniwe kabisa. povu lote hilo ?Inamana wew unaposema hutumii imoji ila unatumia wasap kwa busines,,,sas nkulize swali je hujui kama kuna facial expression moja wapo ni kama hizo kutumia imoji na wat mkaelewana vzuri tu,,,namashaka utakuwa na tatizo la utindio wa ubong wew[emoji28] [emoji28] [emoji28] aya apo nmekucheka kuna tatizo??
samahani nimekosea. asante kwa kuona hilo.for socially issues= for social issues...kwa nini lakini?
maana iyo emoji ni OK angalia ivyo vidole vilivyowekwa kuna O n vidole vina present KHizo afadhali ila hii [emoji108] [emoji108] [emoji108] ..............
matusi ya nini? mbona hujiamini?Du, kweli aliekutia bila malipo alaaniwe kabisa. povu lote hilo ?
Wacha weee [emoji2] [emoji2]Ndio maana natumiaga hii tu[emoji160] when necessary