Haipendezi kwa mwanaume kutumia 'emoji' hizi za WhatsApp

Haipendezi kwa mwanaume kutumia 'emoji' hizi za WhatsApp

Mwanaume hutakiwi kutumia emoji zozote kabisaaaa, i use whatsapp kwaajili ya business only, i don't use for socially issues
Af ulivo hewa eti you use wasap for busines and not social issues,,inaman busines huwez intaract socially???rud shule bashite wew
 
Af ulivo hewa eti you use wasap for busines and not social issues,,inaman busines huwez intaract socially???rud shule bashite wew
Asante dada, wewe endelea kutumia emoji tu. Usihofu nitarudi shule hivi karibuni maana naona povu mpaka unatia huruma.
 
Inamana wew unaposema hutumii imoji ila unatumia wasap kwa busines,,,sas nkulize swali je hujui kama kuna facial expression moja wapo ni kama hizo kutumia imoji na wat mkaelewana vzuri tu,,,namashaka utakuwa na tatizo la utindio wa ubong wew[emoji28] [emoji28] [emoji28] aya apo nmekucheka kuna tatizo??
Du, kweli aliekutia bila malipo alaaniwe kabisa. povu lote hilo ?
 
Wabongo bwana, vitu vingine sio vya kuumiza kichwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
ushkaji aulazimishwi ........ni ujinga kumpangia mwanaume mwenzio nn cha kufanya !! though kila emoji inamaana yake .
ujinga tuu kwamba ww uonekane kidume sana au? unaringa unaringia had emoji? utakua sio mzima ww

Haya tembeza Block bas
yan mtu anaexpress feeling zake af we Unampangia who r u?
una inferiority complex ndo maana unawaza ujinga tuu mwanaume akniandikia nyeenyee namblok.... Pole sio kawaida ni UGONJWA huo



Ingawa mie siandikagi ivo.... ila sina tatizo na mtu anaetumia izo emoji au yale maneno
 
Hivi kumbe emoji zipo za kutumiwa na wanawake na za kutumiwa na wanaume.

Aiseee
 
Back
Top Bottom