Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja aje[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hiyo haina kilevi hata kidogo Shunie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja aje[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hiyo haina kilevi hata kidogo Shunie
Neno la kipuuzi tu... eti "lough out loud"Kwan 'lol' manake nn?
Akifika uniambie.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja aje
Hahahaa....Neno la kipuuzi tu... eti "lough out loud"
Wewe mtoto wa kiume una lough out ili iweje.
Ngoja nicheke kwa maneno maana hivi vi-emoji bado vpo kwny mjadala
Leo siongelei wanaume wa Dar tu, leo ni wote wenye vijitabia vya kutuma Emoji za kipuuzi mbaya zaidi wanatuma hadi kwa wanaume.
Wewe mwanaume rijali kamwe huwezi kuwa na akili ya kutumia hizi Emoji kamwe ;.
View attachment 529309
Mmh, mwanaume rijali ni yule mwenye uwezo wa kusimamisha nguzo na ikasambaza umeme hizo zingine mbwembwe tu!!!!Leo siongelei wanaume wa Dar tu, leo ni wote wenye vijitabia vya kutuma Emoji za kipuuzi mbaya zaidi wanatuma hadi kwa wanaume.
Wewe mwanaume rijali kamwe huwezi kuwa na akili ya kutumia hizi Emoji kamwe ;.
View attachment 529309
Nashangaa bana, mbona wanataka kukomplicate maisha kwa vitu vidogo,Wabongo bhana!Emoji hizi bhana za kike...mara magari haya...ni ya kike...mara vinywaji hivi bhana ni vya kike...
Hivi siku mkiwa na teknolojia ya kutengeneza simu au magari si mtaya label ME au KE kabisa...
Neno [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]Mwaka huu tutasikia mengi...... hem tupe source ya habari au utafiti