Haipendezi mwanaume kufanya haya!

pia mwanaume kutumia X badala ya S utakuta mwanaume ananiandikia mwanaume mwenzie xaxa badala ya sasa au uxhauri badala ya ushauri

Hizi ni dalili za ushoga mambo mengine tuwaachie dada zetu

Mkuu na wewe ni mkereketwa wa huo upuuzi... agiza konyagi bariiidi .
 

kama mnaltambua hilo bas nyie wajanja, alakini mbona hujaongelea suala la ninyi kuvaa SURUALI? Mshawahi ona madume tukivaa masketi yenu? If not -Think twice😉
 
Asante kaka...
Tena mwanaume anayeshabikia ccm hafai kwa matumiz ya wanadam

Unatambua hilo baada ya miaka 50!!!! Acha kupotosha mada kwa viroja visivyo na kichwa wala miguu.
 
Hii post kama imejirudia thot i saw it somewhr.

By the way wanaume siku hizi ni wachache sanaaa, tunakoelekea nafikiri wataisha kabisaaa, hebu jitambueni na mbadilike.

Wanaume wachache?

Asante tumekusikia tutabadilika...ila nyie ndo hamtak kubadilika kabisaa
 

Hiyo namba 7 kwangu ndio muhim saana....
 
Kushobokea afya za watu mf eti mbona siku hizi umekonda sana huna kitu kinachokusumbua? au naona unazidi kuwa bonge tu,au unependeza n.k n.k
 
Kushobokea afya za watu mf eti mbona siku hizi umekonda sana huna kitu kinachokusumbua? au naona unazidi kuwa bonge tu,au unependeza n.k n.k

Hahahaaaaha mkuuu nimechekajeee
 
We ni mwanaume au mwanamama?.

Tuanzie hapo
 
Mwanaume kusema/kuandika balabala badala ya barabara inaboa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…