Haipendezi mwanaume kufanya haya!

umesema kweli ila kwenye namba nne..unakuwa kwenye mantiki ipi sijalewa yaani kushindwa nini au huwezi nini...kwa mfano kuna mambo mengine inabidi kama mwanaume inabid useme siwezi na kuwa mkweli
 
kweli kuwa mwanaume kunahitaji weredi wa hali ya juu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…