Unakuta ni kwenye daladala au mpo sehemu mmekaa mnasubiria huduma unaona mbaba anacheza game kwenye simu yake game yenyewe bora hata ingekuwa hata dream league soccer au PES.
Noma inaanza pale unakuta mtu anacheza sweet fruit candy, au Buble shooter, Temple run, subway runner vigame flan vya kijinga jinga tu kwa kweli haimake sense sana.
Mpaka wazifahamu hizo games inamaana na wewe unazicheza. Kua idle ni kubaya bora mtu ajichezee zake game kupoteza muda. Life is too short to complicate things