Haipendezi Mwanaume mtu mzima kucheza games za kitoto kwenye simu yake

Haipendezi Mwanaume mtu mzima kucheza games za kitoto kwenye simu yake

Nimeshambuliwa kinyaman kwa hiyo Leo nimetoa boko wadau Basi barid niombeeni kwa mods waifute thread maana nimetukanwa asee niombe tu po
 
Nimeshambuliwa kinyaman kwa hiyo Leo nimetoa boko wadau Basi barid niombeeni kwa mods waifute thread maana nimetukanwa asee niombe tu po

game la mpira ufunge goli mpaka unanyanyuka kushangilia kwenye ofisi za watu,si ndio utaonekana hamnazo kabisa!!!
 
Unakuta ni kwenye daladala au mpo sehemu mmekaa mnasubiria huduma unaona mbaba anacheza game kwenye simu yake game yenyewe bora hata ingekuwa hata dream league soccer au PES.

Noma inaanza pale unakuta mtu anacheza sweet fruit candy, au Buble shooter, Temple run, subway runner vigame flan vya kijinga jinga tu kwa kweli haimake sense sana.
Hutaki au
 
Kwan tumeshafikia kupangiana vya kufanya kwenye mali zetu!! Duh! Huu mwaka uishe tu..

KichWa bOX
 
Mda mwingine ukijifunza kufata Mambo yako itakusaidia Sana inaezekana umeleta huu Uzi kwa maana nzuri Ila kiukweli wewe ndo nimekuona mvulana sababu unaangaika na Mambo yasiyokuhusu kabisa
 
huo muda unaupata wapi, hivi kuna watu bado wajinga namna iyo siku za leo kwenye maisha magumu hivi, utatafuta lini maisha ya watoto wako sasa?
 
,
FB_IMG_1622134043382.jpg
 
Wakati anacheza game kwenye simu yake wewe unakuwa unafanya nini?
 
Mimi napenda kudrive magari nikiwa bored au nina stress
 
Unakuta ni kwenye daladala au mpo sehemu mmekaa mnasubiria huduma unaona mbaba anacheza game kwenye simu yake game yenyewe bora hata ingekuwa hata dream league soccer au PES.

Noma inaanza pale unakuta mtu anacheza sweet fruit candy, au Buble shooter, Temple run, subway runner vigame flan vya kijinga jinga tu kwa kweli haimake sense sana.
Kwann ina madhara gani?! Yaani unataka nambia ni anakosea au dosari?!
 
Mimi hapa ninayo bubble nini sijui ile.... Naicheza kwenye sim. Na nina mpango wa kununua Playstation 5 nitumie kwangu. Michezo ile ni hobbie.
 
Watu mnamdhihaki mtoa mada lakini ana mantiki nzuri sana. Mtu mzima tena MWANAUME kukaa kucheza magemu ya watoto kwenye simu ni dalili wazi za kusinyaa kwa afya ya akili.
 
Back
Top Bottom