Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,584
- 12,461
Nimeshambuliwa kinyaman kwa hiyo Leo nimetoa boko wadau Basi barid niombeeni kwa mods waifute thread maana nimetukanwa asee niombe tu po
Hahaha hahaWivu tu huo. Tafta hela acha kuchungulia simu za watu mzee
Hutaki auUnakuta ni kwenye daladala au mpo sehemu mmekaa mnasubiria huduma unaona mbaba anacheza game kwenye simu yake game yenyewe bora hata ingekuwa hata dream league soccer au PES.
Noma inaanza pale unakuta mtu anacheza sweet fruit candy, au Buble shooter, Temple run, subway runner vigame flan vya kijinga jinga tu kwa kweli haimake sense sana.
Kwann ina madhara gani?! Yaani unataka nambia ni anakosea au dosari?!Unakuta ni kwenye daladala au mpo sehemu mmekaa mnasubiria huduma unaona mbaba anacheza game kwenye simu yake game yenyewe bora hata ingekuwa hata dream league soccer au PES.
Noma inaanza pale unakuta mtu anacheza sweet fruit candy, au Buble shooter, Temple run, subway runner vigame flan vya kijinga jinga tu kwa kweli haimake sense sana.