Doto Dotto
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 3,906
- 2,902
Kwa hayo maneno uliyoandika tu endelea kulamba ndimu na kuzitafuna na kumeza.
Na hivyo hivyo ndipo D kafia kwa roho safi anakula mahaba mahaba jiwuwe weye
Mlisemaga hana ndoto sasa mnamtamani hamjui kuwa mnampaga mabalaaa
Wanaume wamejaa wengi mtafutieni huyo mwanamke mwenzenu
D kaeni nae mbali watukanaji wengi waliojaa na machirizui
Kwa jukwaa hili huu ni uchunguzi...Vijana wengi wa nchi hii wameaharibikiwa kijinsia mpaka akili, sasa uchunguzi gani wa kisayansi unaoongelea hapa?
Halafu Wema naona kama anajipendekeza kwa D sasa..Sasa Wema kichwani amebakiza nati mbili dish kuyumba na kuanguka..Hii sasa ndoto nyevu
Hii sio ndoto subiri tu muda ukifika utatengua kauli yako. Pia tambua hili ni suala la kitaifa. Wapenzi walioachana wakiwa watajanatajana ni dalili mmojawapo ya bado wanatakana. Hili suala lipo mioyoni mwa wote wawili, Diamond & Wema, kinachoonekana ni kila mmoja anafikiria jinsi gani ya kufanya timing kali ya kumtoa Zari madarakani bila kuleta madhara kwa wengine hasa Madam Tiffah.Hii sasa ndoto nyevu
Acha kuleta dharau kwenye masuala ya kitaifa. Kuwa mzalendoYaani unatabiri kisha unatuambia tuwaombee!!!
Na Joseph msukuma je
Ndo analipakua limenyu la wengi auπππ
Zari ndio mwanamke sahihi kwa Diamond, sio huyo wema muuza magazeti!
Nasikia sasa hivi ndo mzunguko umefika kwake...
Hii sio ndoto subiri tu muda ukifika utatengua kauli yako. Pia tambua hili ni suala la kitaifa. Wapenzi walioachana wakiwa watajanatajana ni dalili mmojawapo ya bado wanatakana. Hili suala lipo mioyoni mwa wote wawili, Diamond & Wema, kinachoonekana ni kila mmoja anafikiria jinsi gani ya kufanya timing kali ya kumtoa Zari madarakani bila kuleta madhara kwa wengine hasa Madam Tiffah.