HAIPINGIKI: Diamond & Wema kurudiana

HAIPINGIKI: Diamond & Wema kurudiana

Kwa hayo maneno uliyoandika tu endelea kulamba ndimu na kuzitafuna na kumeza.

Na hivyo hivyo ndipo D kafia kwa roho safi anakula mahaba mahaba jiwuwe weye

Mlisemaga hana ndoto sasa mnamtamani hamjui kuwa mnampaga mabalaaa

Wanaume wamejaa wengi mtafutieni huyo mwanamke mwenzenu

D kaeni nae mbali watukanaji wengi waliojaa na machirizui

Ni ukweli usiopingika chibu na hilo jimama tc deff
 
Assume tiffah anaishi na mama wa kambo sepenga uko ndani cjui kama zitaiva
 
Pambafu sanaaaa sasa kama wema ndo mwenye zaidi ya mond hapo wanapendana au kuna anae mpenda mwenzake
 
Mhhhh. Tuwaombeee??? ikiwa nasisi tuna mambo mengi na yamaana ya kujiombea, km wanapendana waombeane wenyewe, wakirudiana sisi tunanufaika na nini
 
Vijana wengi wa nchi hii wameaharibikiwa kijinsia mpaka akili, sasa uchunguzi gani wa kisayansi unaoongelea hapa?
Kwa jukwaa hili huu ni uchunguzi...
 
Ndoto za abunuwasi.
Please Nassib usirudi tena pale
 
Zari ndio mwanamke sahihi kwa Diamond, sio huyo wema muuza magazeti!
 
Hii sasa ndoto nyevu
Hii sio ndoto subiri tu muda ukifika utatengua kauli yako. Pia tambua hili ni suala la kitaifa. Wapenzi walioachana wakiwa watajanatajana ni dalili mmojawapo ya bado wanatakana. Hili suala lipo mioyoni mwa wote wawili, Diamond & Wema, kinachoonekana ni kila mmoja anafikiria jinsi gani ya kufanya timing kali ya kumtoa Zari madarakani bila kuleta madhara kwa wengine hasa Madam Tiffah.
 
Mnataka daimond akamlipie umeme? Na maji...

?
 
Hii sio ndoto subiri tu muda ukifika utatengua kauli yako. Pia tambua hili ni suala la kitaifa. Wapenzi walioachana wakiwa watajanatajana ni dalili mmojawapo ya bado wanatakana. Hili suala lipo mioyoni mwa wote wawili, Diamond & Wema, kinachoonekana ni kila mmoja anafikiria jinsi gani ya kufanya timing kali ya kumtoa Zari madarakani bila kuleta madhara kwa wengine hasa Madam Tiffah.

Poa Martin kadinda nimekupata
 
Back
Top Bottom