Hahahahahaaa kwa mara ya kwanza umefanikiwa kunichekesha.Vijana wengi wa nchi hii wameaharibikiwa kijinsia mpaka akili, sasa uchunguzi gani wa kisayansi unaoongelea hapa?
None of the two.Wamekutuma au ni hisia zako?
Tupo wachache sana wenye mikono ya watoto raha yake umpate mwanamke mwenye kisimi kirefu hamuachani hizo pea kukutana ni ngumu
Wemaaa Wemaaa kmnykoooo - Remmy Ongala.
Huu uzi ni muhimu kwa ajili ya kuwajulisha uma kinachoweza kutokea ili ambao hawapendi itawasaidia kujiandaa kisaikolojia.Ha ha ha ha ha ha ha haaaaaah! Bila shaka wewe utakuwa mganga wa Wema umetoka kupigisha ramli na kumhadaa Wema
Halafu Wema naona kama anajipendekeza kwa D sasa..Sasa Wema kichwani amebakiza nati mbili dish kuyumba na kuanguka..
Mnooooo naskiaga kwanza ana mkono wa mtoto
Ahahahaaa!!mwanamke yatakushinda!!
Ha ha ha natamani tu siku moja picha yake ivuje tujionee hiyo asali
uchunguzi huu uwekwe kwenye katiba mpyaSijajua itakuwa lini ila hawa watu watarudiana na kuishi pamoja hadi uzeeni. Kwasababu mbalimbali za kisayansi ni kuwa hawa watu wanapendana sana (true love) na endapo wakafungiwa sehemu kwa dakika chache lazima wazisahau tofauti zilizotokea.
Upande wa mwanamke (Wema) ndo wenye mapenzi makubwa zaidi kuliko kwa diamond.
Tuwaombee hawa wenzetu wazimalize tofauti zao maana kwa sasa nafsi zao zitakuwa zinalilia kuunganishwa tena.
NB: Huu uchunguzi ni huru na wenye uhakika 100% kama unataka kujua kwanini kiundani nitumie PM
Hakika mkuuuchunguzi huu uwekwe kwenye katiba mpya
Mapenzi yana nguvu kuliko mauti kwahiyo huo ubaba ni kitu kidogo mno mbele ya true love. Huo ubaba utachelewesha tu mchakato ila sio kuuzuiaYeah!sasa hivi amechoka kabisa kwamaumivu na anaonyesha wazi wazi kwamba anamhitaji Platnumz,Mama Tiffah nae hachezi mbali.
Naona hapa kikwazo kikubwa ni Tiffah,bila tiffah kuwepo naimani Wema angekua kashamrudisha Diamond mikononi mwake siku nyingiii!!!Sasa hivi Diamond anaakili Za kiutuzima,Ubaba umeshamuingia kichwani kwa hiyo ni Vigumu sana kumfikiria Wema
Nimejaribu kufikiri haya maslai mapana nimebaki kucheka tuu...Hahaha
Ndio maana taifa linaangamia....
Kwa maslahi ya taifa??