HAIPINGIKI: Diamond & Wema kurudiana

HAIPINGIKI: Diamond & Wema kurudiana

Vijana wengi wa nchi hii wameaharibikiwa kijinsia mpaka akili, sasa uchunguzi gani wa kisayansi unaoongelea hapa?
Hahahahahaaa kwa mara ya kwanza umefanikiwa kunichekesha.
 
Ha ha ha ha ha ha ha haaaaaah! Bila shaka wewe utakuwa mganga wa Wema umetoka kupigisha ramli na kumhadaa Wema
 
Ila tuache utani hawa watoto walimatch bwana!!Yaani walipendezana haswaaa tatizo Wema hakui!Hajatuliza kichwa bado kwenye mahusiano kama mwenzie Aunty ezekieli
 
Ha ha ha ha ha ha ha haaaaaah! Bila shaka wewe utakuwa mganga wa Wema umetoka kupigisha ramli na kumhadaa Wema
Huu uzi ni muhimu kwa ajili ya kuwajulisha uma kinachoweza kutokea ili ambao hawapendi itawasaidia kujiandaa kisaikolojia.
 
Halafu Wema naona kama anajipendekeza kwa D sasa..Sasa Wema kichwani amebakiza nati mbili dish kuyumba na kuanguka..

Yeah!sasa hivi amechoka kabisa kwamaumivu na anaonyesha wazi wazi kwamba anamhitaji Platnumz,Mama Tiffah nae hachezi mbali.

Naona hapa kikwazo kikubwa ni Tiffah,bila tiffah kuwepo naimani Wema angekua kashamrudisha Diamond mikononi mwake siku nyingiii!!!Sasa hivi Diamond anaakili Za kiutuzima,Ubaba umeshamuingia kichwani kwa hiyo ni Vigumu sana kumfikiria Wema
 
Sijajua itakuwa lini ila hawa watu watarudiana na kuishi pamoja hadi uzeeni. Kwasababu mbalimbali za kisayansi ni kuwa hawa watu wanapendana sana (true love) na endapo wakafungiwa sehemu kwa dakika chache lazima wazisahau tofauti zilizotokea.

Upande wa mwanamke (Wema) ndo wenye mapenzi makubwa zaidi kuliko kwa diamond.

Tuwaombee hawa wenzetu wazimalize tofauti zao maana kwa sasa nafsi zao zitakuwa zinalilia kuunganishwa tena.

NB: Huu uchunguzi ni huru na wenye uhakika 100% kama unataka kujua kwanini kiundani nitumie PM
uchunguzi huu uwekwe kwenye katiba mpya
 
Yeah!sasa hivi amechoka kabisa kwamaumivu na anaonyesha wazi wazi kwamba anamhitaji Platnumz,Mama Tiffah nae hachezi mbali.

Naona hapa kikwazo kikubwa ni Tiffah,bila tiffah kuwepo naimani Wema angekua kashamrudisha Diamond mikononi mwake siku nyingiii!!!Sasa hivi Diamond anaakili Za kiutuzima,Ubaba umeshamuingia kichwani kwa hiyo ni Vigumu sana kumfikiria Wema
Mapenzi yana nguvu kuliko mauti kwahiyo huo ubaba ni kitu kidogo mno mbele ya true love. Huo ubaba utachelewesha tu mchakato ila sio kuuzuia
 
Back
Top Bottom