HAIPINGIKI: Diamond & Wema kurudiana

HAIPINGIKI: Diamond & Wema kurudiana

Acha ubishi jenga hoja imara. Huu uchunguzi umenigharimu sana muda na pesa ili kutetea maslahi mapana ya taifa. Uzalendo kwanza.
Kwanza kama hauheshimu mapenzinna ndoanza watu basi wewe na huyo w ylwote adabu hamna.

Unaandika kama yule adui wa D humu kama vile mumeamua kumwingilia apate ile nyota iliyofifia inayoibia serikali ili muur ya kwake inayozidi kung'aa.

Haya nijibu kwanza maana na D ameulizwa juzi kasema ...ila bila kusahau inyerview zake akimtaja Zari na Yiffah ni kama mtu unaona jino lake la mwishom ooh hadi raha Diamond yupo na furaha sana tena na Xmas kula na mkewe acha tu. Inamsikilizaga eeehhh

Haya sasa w na wenzakr akina dogi waliporusha picha za mama D na kumchora yupo hicu uliziona wewe mamaako angewekwa hivyo ungetamani kumpenda mwanamke aliyetenda hivyo kisha alikuacha eti hauna nyota, akawa ana lala na wanaume wengine bila kujali unaumia au la, ambaye hapiki, anaishi udaku tuuuuu hata kama hamkuishi nyumba moja.

W na akina dogi picha zao zimo humu sakeni nyuzi za zamani wamo humu, walizidi na Diamond anampenda Mama yake sana.

Na juzi kasema kama mnamtafuta yeye kwanini kumtukania mama yake? Hiyo kitu kaguswa na michirizi sasa hivi anajigonga kwa Aunt ili awe karibu na Iyobo ajue ya D mwambie akalaze bao.

Wanawake wote wangekuwa wanaacha wanaume baadae kujiona wamechuja na kuishia kumtukama yeye kutaka ashuke kikazi, kulalwa ovyo kumuonyesha bado kikei kinadai kuingilia, kumtukana mkewe mpenzi wake mpya, kumshabikia marafiki zako kumtukana mwanae, kumsingizia mengi, kwenda kujatibu kutoka na ex-mume wa Mke wa Diamond hadi kupiga nae picha huko South Afrika, na mengine mengi cha mbaya zaidi juu ya yote kumtukana Mama D na kucjora picha za duh zake, kumfanyia na kumchafua mama wa watu kama vile ndie mpenzi wao.

Kama haujaelewa rudi ujue yaliyojiri mwakanhuu umepita, wanaomtukana D an familia yake ni mashosti wa kukutana mitandaoni, na nduguze na w mwenyewe na feki akaunti zake. Na wote wanajuana sura na kukubaliana kabla ya kuposti.

Ndio maana huwa hawakatazi.

Juzi kamuona Wolper kwenye kideo kaingia wivu anakunwa. Akatoke na mababu wale waliompa bichwa akamuacha D tena D ana bahati angekuwa karudi Tandale leo hii kwa nyota nyeusi ya huyo bidada.

Nitafudi na gazeti nikijisikia eeeeehhh
 
Kauzi katamu sana kukafuatilia kweli hawa raia walikua wana kakitu si bure
 
Zama za wema zinafikia ukingoni.chibu anaangalia Maisha yake na familia yake tu Kwa sasa ondoa fikra mbovu kichwani mwako
 
Na bado kale ndimu, maana kwa umrinwake na umbo na mvuto anaompa D lazima upepesuke.

Mimi ni shabiki mkubwa wa chibu kitambo tangu song ya Nenda kamwambie. na ninafurahia mafanikio yake kimuziki, na kwenye show zake huwa naendaga sana. but zari!!! hapana aiseee sijapendezwa kabisaaaa..... ni bora angetoka na Asha boko kuliko zari
 
Kwanza kama hauheshimu mapenzinna ndoanza watu basi wewe na huyo w ylwote adabu hamna.

Unaandika kama yule adui wa D humu kama vile mumeamua kumwingilia apate ile nyota iliyofifia inayoibia serikali ili muur ya kwake inayozidi kung'aa.

Haya nijibu kwanza maana na D ameulizwa juzi kasema ...ila bila kusahau inyerview zake akimtaja Zari na Yiffah ni kama mtu unaona jino lake la mwishom ooh hadi raha Diamond yupo na furaha sana tena na Xmas kula na mkewe acha tu. Inamsikilizaga eeehhh

Haya sasa w na wenzakr akina dogi waliporusha picha za mama D na kumchora yupo hicu uliziona wewe mamaako angewekwa hivyo ungetamani kumpenda mwanamke aliyetenda hivyo kisha alikuacha eti hauna nyota, akawa ana lala na wanaume wengine bila kujali unaumia au la, ambaye hapiki, anaishi udaku tuuuuu hata kama hamkuishi nyumba moja.

W na akina dogi picha zao zimo humu sakeni nyuzi za zamani wamo humu, walizidi na Diamond anampenda Mama yake sana.

Na juzi kasema kama mnamtafuta yeye kwanini kumtukania mama yake? Hiyo kitu kaguswa na michirizi sasa hivi anajigonga kwa Aunt ili awe karibu na Iyobo ajue ya D mwambie akalaze bao.

Wanawake wote wangekuwa wanaacha wanaume baadae kujiona wamechuja na kuishia kumtukama yeye kutaka ashuke kikazi, kulalwa ovyo kumuonyesha bado kikei kinadai kuingilia, kumtukana mkewe mpenzi wake mpya, kumshabikia marafiki zako kumtukana mwanae, kumsingizia mengi, kwenda kujatibu kutoka na ex-mume wa Mke wa Diamond hadi kupiga nae picha huko South Afrika, na mengine mengi cha mbaya zaidi juu ya yote kumtukana Mama D na kucjora picha za duh zake, kumfanyia na kumchafua mama wa watu kama vile ndie mpenzi wao.

Kama haujaelewa rudi ujue yaliyojiri mwakanhuu umepita, wanaomtukana D an familia yake ni mashosti wa kukutana mitandaoni, na nduguze na w mwenyewe na feki akaunti zake. Na wote wanajuana sura na kukubaliana kabla ya kuposti.

Ndio maana huwa hawakatazi.

Juzi kamuona Wolper kwenye kideo kaingia wivu anakunwa. Akatoke na mababu wale waliompa bichwa akamuacha D tena D ana bahati angekuwa karudi Tandale leo hii kwa nyota nyeusi ya huyo bidada.

Nitafudi na gazeti nikijisikia eeeeehhh
Uwe unaandika vizuri umenipa tabu sana kuzielewa hizi pumba. Kumbuka diamond ni dhaifu sana kwa wema kama ilivyo wema kuwa dhaifu kwa diamond. Huyo diamond alikuwa na penny kiasi kwamba wananchi wakawa wanasubiri ndoa ila kwa uzembe wa diamond & wema wakaruhusu ukaribu tena kidogo tu kati yao kuja kushtuka washarudiana na penny kupigwa chini. Kwahiyo huku kurudiana kwao kunakokuja sio mara ya kwanza. Heshimu sana "true love"
 
Mimi ni shabiki mkubwa wa chibu kitambo tangu song ya Nenda kamwambie. na ninafurahia mafanikio yake kimuziki, na kwenye show zake huwa naendaga sana. but zari!!! hapana aiseee sijapendezwa kabisaaaa..... ni bora angetoka na Asha boko kuliko zari
Watarudiana.
 
Huyo zari type yake ni afande Sele, inspector Haruni, na akina Juma nature. Ni ukweli usiopingika hapo chibu amebugiiiii.....meeen

"mapenzi hayana mwenywe,unaweza penda kijana au mzee,niite jina langu beibe huwenda nafsi yangu itapoa..." by ruby/nayule
 
Last edited by a moderator:
Hilo jamvi la wageni...?? Janamke lisilo na maadili kila mtu anapakua tu.....huyo wema wenu keshazeeeekaaaaaa sura imemshuka km kijibwa..
Yn katika ma ex wa diamond wema ndio kachakaa
Angalia penny, jokate, wolper, naj walivyo watami bado..sasa kwa huyo kingunge wenu akafate nn
 
Sijajua itakuwa lini ila hawa watu watarudiana na kuishi pamoja hadi uzeeni. Kwasababu mbalimbali za kisayansi ni kuwa hawa watu wanapendana sana (true love) na endapo wakafungiwa sehemu kwa dakika chache lazima wazisahau tofauti zilizotokea.

Upande wa mwanamke (Wema) ndo wenye mapenzi makubwa zaidi kuliko kwa diamond.

Tuwaombee hawa wenzetu wazimalize tofauti zao maana kwa sasa nafsi zao zitakuwa zinalilia kuunganishwa tena.

NB: Huu uchunguzi ni huru na wenye uhakika 100% kama unataka kujua kwanini kiundani nitumie PM

Badala ya kukazana uwarudishe baba ako na mama ako warudiane unakazana na mapenzi ya watu, sasa wakirudiana itakusaidia nn mbwa wewe? Mxiee eti sayansi, nenda kawarudishe kwanza wazazi wako warudiane
 
Nitakublock wewe mwanamke/mwanaume. Sipendi AKILI NDOGO kwenye uzi wangu
 
Haiwezi kuja kutokea hata ndotoni Diamond kumpenda huyo malaya..
 
Nitakublock wewe mwanamke/mwanaume. Sipendi AKILI NDOGO kwenye uzi wangu

Kuwa na adabu mbwa wewe unapoongea na baba zako wa kambo, umeshindwa kumrudisha mama ako na baba ako wawe pamoja unajishaua kuingilia mambo ya diamond na wema, nenda kaolewe wewe basi mbwa mkubwa wewe, tena ukome nguruwe wewe kama hunijui uliza utapewa habare yangu mxieww
 
Back
Top Bottom