Harafu mnaenda kukutana na Barca!Utasubiri sanaaaaa my dady......16 hiyoooooooo!!!
Wale buernomouth walikuwa bandarini au darajani??Huna akil
Wote watatu kwenye group hakuna mwenye uhakika kwa chelsea halaf unalinganisha na hao
Mualgeria huyo kwa stars na chelsea unaona sawa
Porto darajan kutoka n ngumu licha ya ugumu wa mechi ya Kwanzaa
Harafu kule anaenda kukutana na akina Sevilla, EPL wanaondoka kwa msafara.Tulimpenda sana ila Europe imempenda zaidi
Bayern Munich: QUALIFIED (as group winners)
Olympiacos: STILL IN THE HUNT (need a draw against Arsenal, can
also lose 1-0 and 2-1)
Arsenal: STILL IN THE HUNT (must beat Olympiacos by two goals, or
a victory margin of 4-3 or higher)
Dinamo Zagreb: KNOCKED OUT (cannot qualify for Europa League)
Kipindi kile walikuwa na Ferdinand na Vidic, hivi leo wana nani?Kuliko wakutane na Barcelona bora watolewe leo maana ile MSN hatareee
Harafu mnaenda kukutana na Barca!
Tulimpenda sana ila Europe imempenda zaidi