Haipingiki timu hizi tatu za EPL haziwezi pita UEFA 16 bora

utabiri wako umeanza kutimia kwa man u, ngoja tuone asernal na chelsea
 
utabiri wako umeanza kutimia kwa man u, ngoja tuone asernal na chelsea

Hapana utabiriwake amekosea maana alisema kwanza arsenal ndio anaanza, wakati mpaka sasa tunasubiria acheze. aksema pili manu. Wakati man U is now out kwabla hata arsenal hawajatoka, labda atapatia kwa chelsea.
ila kicha cha habari kapatia, 100%,
 
Ha ha ha ha na huyo City ataishia 16 bora

Hapana, atafika robo kwa sababu ameongoza kundi hivyo amekwepa kukutana vigogo kama vle bayern , barcelona na Real madrid ambao ndo huwa wanamtoa kila siku 16 bora
 
Hapana, atafika robo kwa sababu ameongoza kundi hivyo amekwepa kukutana vigogo kama vle bayern , barcelona na Real madrid ambao ndo huwa wanamtoa kila siku 16 bora
Sasa mkuu akipangiwa PSG si hatari
 
Ameshatoka tayari ila The Gunner lazima apite

Duuuuuh yani nyie Arsenal ndio kabisaaaaa na tatzo majeruhi mnao kibao mtu kama Cazorla Sanchez ni pengo kubwa sana
 
Duuuuuh yani nyie Arsenal ndio kabisaaaaa na tatzo majeruhi mnao kibao mtu kama Cazorla Sanchez ni pengo kubwa sana
Watafanya miujiza hao maana wanapokuwa katika critical moment huwa wanafanya kweli
 
...i knew it..!
 
kweli wewe ni PNC.nadhani sa hii upo uvunguni kwa aibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…