Ng'wanza Madaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2008
- 2,268
- 335
Asante mkuu,halafu tutakuwa tunamchungulia siku ya Alhamisi.Man U leo ndo anafunga safari, akirudi EPL anarudi mazima kisha anapelekwa Europa.
Tulia kama unachomwa sindano.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuu,halafu tutakuwa tunamchungulia siku ya Alhamisi.Man U leo ndo anafunga safari, akirudi EPL anarudi mazima kisha anapelekwa Europa.
Tulia kama unachomwa sindano.
Man U kapangiwa Group laini kabisa ila ndo hivyo kibonde kibonde tuu!!!Ha ha ha ha na huyo City ataishia 16 bora
utabiri wako umeanza kutimia kwa man u, ngoja tuone asernal na chelsea
Ha ha ha ha na huyo City ataishia 16 bora
Sasa mkuu akipangiwa PSG si hatari
Ameshatoka tayari ila The Gunner lazima apiteUtasubiri sanaaaaa my dady......16 hiyoooooooo!!!
Watafanya miujiza hao maana wanapokuwa katika critical moment huwa wanafanya kweliDuuuuuh yani nyie Arsenal ndio kabisaaaaa na tatzo majeruhi mnao kibao mtu kama Cazorla Sanchez ni pengo kubwa sana
...pnc arsenal atamtandika huyo sijui mgiriki sijui nani goli zakutosha tu.
Wale watoto walitufunga zile game za kwanza, sio kwa sababu wana uwezo kutuzidi, la hasha, ilikua ni kama 'accident' tu, jumatano sina hofu, tutawapiga zaidi ya goli mbili, haijalishi wawe kwao au kwa jirani!
Ya kwanza Arsenal huyu hata akishinda 1:0 kesho bado yupo nje
wa pili Manchester United huyu hata akidraw kaenda nje na la kusikitisha yupo ugenini kwa wajeumani
Na wa 3 ni Chelsea huyu anakutana na Fc Porto wenye yule jamaa mualjeria aliyeisumbua stars
Hivo Waingereza wajipange kwa Europe Champions League View attachment 309632
Uefa Champions League permutations
Bayern Munich: QUALIFIED (as group winners)
Olympiacos: STILL IN THE HUNT (need a draw against Arsenal, can
also lose 1-0 and 2-1)
Arsenal: STILL IN THE HUNT (must beat Olympiacos by two goals, or
a victory margin of 4-3 or higher)
Dinamo Zagreb: KNOCKED OUT (cannot qualify for Europa League)
Chelsea: STILL IN THE HUNT (need a draw against Porto, can lose if
Dynamo fail to win)
Porto: STILL IN THE HUNT (need to beat Chelsea, or hope Dynamo
fail to beat Maccabi)
Dynamo Kyiv: STILL IN THE HUNT (need a win against Maccab
#UPDATE : MANCHESTER UNITED WASHAAGA MASHINDANO KWA GOLI 3:2