Ibrah
JF-Expert Member
- Mar 22, 2007
- 2,730
- 530
umeongea pumba tupu hapa!...acha kukurupuka!.
Unaona sasa Smile! Omba radhi mapema kabla mvua haijakunyeshea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umeongea pumba tupu hapa!...acha kukurupuka!.
ukweli ndo huo huna nywele wewe ni kilaza
hapo kwenye red smile umechemka. nakupa mfano; ushawahi msikia prof PARAMAGAMBA KABUDI? yupo pale UDSM, aliweka record ya GPA kubwa haijawahi tokea katika kitivo cha sheria, na ni prof anaeperform vizur sana. sasa jamaa huyu hana ndevu hata moja. waliosoma kitivo cha sheria watoe ushuhuda. na nina wajua watu kibao wana miakili ila ndevu hawana. (mie ninazo lakin). so utafiti wako hauna ukweli.Wanaume ambao ni soft soft hata ubongo wao ni soft hivohivo
Mwanaume hata ndevu hana mmmmh vilaza kweli kweli
Hata wewe unajua
Mwanaume mwenye manywele ana akili bwana
Nywele zinabebabusara za wanaume kumbuka hata Samson kwenye biblia
Kama huamini anza kuwasomaleo
una akili za wahindi wewe?
huoni ni wajanja kwa kila kitu?
Nywele zangu za kifuani zinanipa tabu sana. Nasumbuliwa na wadada yaan daah..
Yaani hao ndo vilaza balaa
Nadhani kuna siri kubwa sana katika hizi nywele
Asiwe nazo. Na akiwa nazo namfanyia waxing.
Habari ndio hiyo
hapo kwenye red smile umechemka. nakupa mfano; ushawahi msikia prof PARAMAGAMBA KABUDI? yupo pale UDSM, aliweka record ya GPA kubwa haijawahi tokea katika kitivo cha sheria, na ni prof anaeperform vizur sana. sasa jamaa huyu hana ndevu hata moja. waliosoma kitivo cha sheria watoe ushuhuda. na nina wajua watu kibao wana miakili ila ndevu hawana. (mie ninazo lakin). so utafiti wako hauna ukweli.
nendeni kwa daktari mkapate dawa kubishana na mimi haisaidii mkuuWako wengi sana huyu dada anamlenga mtu aliyemtosa, sasa hasira zake anataka azimalizie huko. It is not true that all sexy men are successifully in life this is what smile wants to conclude.
wanaume ambao hawana ni vilaza kweli kweli in every aspect in lifeSi mnaona hatamaprofesa wazungu,wahindi waarabu full minywele full miakili
Wanaume ambao hawana nywele akili ni pungufu
wanaume ambao hawana ni vilaza kweli kweli in every aspect in lifeSi mnaona hatamaprofesa wazungu,wahindi waarabu full minywele full miakili
Wanaume ambao hawana nywele akili ni pungufu
kwenye chest hana? mikono je ? miguuni?hapo kwenye red smile umechemka. nakupa mfano; ushawahi msikia prof PARAMAGAMBA KABUDI? yupo pale UDSM, aliweka record ya GPA kubwa haijawahi tokea katika kitivo cha sheria, na ni prof anaeperform vizur sana. sasa jamaa huyu hana ndevu hata moja. waliosoma kitivo cha sheria watoe ushuhuda. na nina wajua watu kibao wana miakili ila ndevu hawana. (mie ninazo lakin). so utafiti wako hauna ukweli.
Mwalimu kwa nini unamfanyia waxing hahahah..