Hair on men chest...

Hair on men chest...

Wanaume ambao ni soft soft hata ubongo wao ni soft hivohivo
Mwanaume hata ndevu hana mmmmh vilaza kweli kweli
Hata wewe unajua
Mwanaume mwenye manywele ana akili bwana
Nywele zinabebabusara za wanaume kumbuka hata Samson kwenye biblia
Kama huamini anza kuwasomaleo
hapo kwenye red smile umechemka. nakupa mfano; ushawahi msikia prof PARAMAGAMBA KABUDI? yupo pale UDSM, aliweka record ya GPA kubwa haijawahi tokea katika kitivo cha sheria, na ni prof anaeperform vizur sana. sasa jamaa huyu hana ndevu hata moja. waliosoma kitivo cha sheria watoe ushuhuda. na nina wajua watu kibao wana miakili ila ndevu hawana. (mie ninazo lakin). so utafiti wako hauna ukweli.
 
Wako wengi sana huyu dada anamlenga mtu aliyemtosa, sasa hasira zake anataka azimalizie huko. It is not true that all sexy men are successifully in life this is what smile wants to conclude.
 
nendeni kwa daktari mkapate dawa kubishana na mimi haisaidii mkuu
 
wanaume ambao hawana ni vilaza kweli kweli in every aspect in lifeSi mnaona hatamaprofesa wazungu,wahindi waarabu full minywele full miakili
Wanaume ambao hawana nywele akili ni pungufu

Na wanawake wenye ndevu je?
 
Hivi izo nywele huwa zinanyolewa maana me naona zinaninyemelea hapa!!
 
wanaume ambao hawana ni vilaza kweli kweli in every aspect in lifeSi mnaona hatamaprofesa wazungu,wahindi waarabu full minywele full miakili
Wanaume ambao hawana nywele akili ni pungufu

Scientifically proven madame Smile?
 
hapo kwenye red smile umechemka. nakupa mfano; ushawahi msikia prof PARAMAGAMBA KABUDI? yupo pale UDSM, aliweka record ya GPA kubwa haijawahi tokea katika kitivo cha sheria, na ni prof anaeperform vizur sana. sasa jamaa huyu hana ndevu hata moja. waliosoma kitivo cha sheria watoe ushuhuda. na nina wajua watu kibao wana miakili ila ndevu hawana. (mie ninazo lakin). so utafiti wako hauna ukweli.
kwenye chest hana? mikono je ? miguuni?
 
Mwanaume Love garden Bwana..Nywele za kifua zina raha yake. mwanaume asipokua na ndevu hapendezi nitamtofautishaje na mimi sasa???? kunako mahabbah kuna rahha ya kuchezea hiyo kitu bhanna..inaleta usingizi mtamuuuuuuuuu
 
haya tena naona hapa hata sokwe nywele anazo kwa hiyo
atakua na akili au ?
 
Back
Top Bottom