Mkare_wenu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2011
- 1,714
- 448
manywele utafilkiri msitu wa lebanon mi sifagilii kabisa tena inanichefua moyo kabisa.its my thinking:shut-mouth:
bwana'ko hana ndo maana unahate
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
manywele utafilkiri msitu wa lebanon mi sifagilii kabisa tena inanichefua moyo kabisa.its my thinking:shut-mouth:
Na wanawake wenye ndevu je?
Napenda sana love garden!zisiwe nyingi sana afu ziwe laini,hiyo ki2 ina raha yake jamanii..mcozipenda kuna kitu mnamiss lols..
jana ulikunywa nini smile?Wanaume ambao ni soft soft hata ubongo wao ni soft hivohivo
Mwanaume hata ndevu hana mmmmh vilaza kweli kweli
Hata wewe unajua
Mwanaume mwenye manywele ana akili bwana
Nywele zinabebabusara za wanaume kumbuka hata Samson kwenye biblia
Kama huamini anza kuwasomaleo
Nywele zangu za kifuani zinanipa tabu sana. Nasumbuliwa na wadada yaan daah..
Jamani kwa hiyo wenye vipara kama mimi ndo wamewekwa kundi gani?
kuna room met wangu yeye anazo nywele kuanzia kichwani,nyusi nying ajabu,mandevu,kifuani ,mgongoni,mikönon,miguuni hadi kwenye tigo.mda anavaa nguo uwa nachekea moyo lakin jamaa anatisha alafu ni kipilipili .ukimwangalia utazani wadudu wamemnasa
Itabidi nikuoe, maana nipo kwenye preference zako.safi nice genious
minywele kichaka cha jasho.........
Hahaha ndo maana wengine wanaachaga vifua wazi lbd wangekua nazo mwili mzima wasingevaa at allHalafu hizo nywele ndio nguo za asili za wanyama! sasa sijui wenye minywele wanavaa nguo za nini wakati Mungu keshawavika! LOL
wanaume ambao hawana ni vilaza kweli kweli in every aspect in lifeSi mnaona hatamaprofesa wazungu,wahindi waarabu full minywele full miakili
Wanaume ambao hawana nywele akili ni pungufu
kwa maelezo Nimeamini kweli wanawake kama wewe hawana akili kwakuwa wao pia wanasehemu chache za nywele , kichwani,kwapani, na kule uzazini ila wangekuwa na possibility kama ya mwanaume yaani ndevu, vinyweleo hadi kule kwa nyuma n.k basi nahsi Smile ungekuwa na akili, busara, uaminifu, hekima, penzi lako lisingeyumba, upendo wa kweli, utii n.k.
kaaazi kweli kwelikwa maelezo Nimeamini kweli wanawake kama wewe hawana akili kwakuwa wao pia wanasehemu chache za nywele , kichwani,kwapani, na kule uzazini ila wangekuwa na possibility kama ya mwanaume yaani ndevu, vinyweleo hadi kule kwa nyuma n.k basi nahsi Smile ungekuwa na akili, busara, uaminifu, hekima, penzi lako lisingeyumba, upendo wa kweli, utii n.k.