Hair on men chest...

Hair on men chest...

Napenda sana love garden!zisiwe nyingi sana afu ziwe laini,hiyo ki2 ina raha yake jamanii..mcozipenda kuna kitu mnamiss lols..
 
Jamani kwa hiyo wenye vipara kama mimi ndo wamewekwa kundi gani?
 
Napenda sana love garden!zisiwe nyingi sana afu ziwe laini,hiyo ki2 ina raha yake jamanii..mcozipenda kuna kitu mnamiss lols..

kuna room met wangu yeye anazo nywele kuanzia kichwani,nyusi nying ajabu,mandevu,kifuani ,mgongoni,mikönon,miguuni hadi kwenye tigo.mda anavaa nguo uwa nachekea moyo lakin jamaa anatisha alafu ni kipilipili .ukimwangalia utazani wadudu wamemnasa
 
Wanaume ambao ni soft soft hata ubongo wao ni soft hivohivo
Mwanaume hata ndevu hana mmmmh vilaza kweli kweli
Hata wewe unajua
Mwanaume mwenye manywele ana akili bwana
Nywele zinabebabusara za wanaume kumbuka hata Samson kwenye biblia
Kama huamini anza kuwasomaleo
jana ulikunywa nini smile?
 
Heheheheiiiya,...zina raha yake kiukwel ila kwa mwenye utundu wake znakua znahusu sana na zisiwe kama kichaka
 
kuna room met wangu yeye anazo nywele kuanzia kichwani,nyusi nying ajabu,mandevu,kifuani ,mgongoni,mikönon,miguuni hadi kwenye tigo.mda anavaa nguo uwa nachekea moyo lakin jamaa anatisha alafu ni kipilipili .ukimwangalia utazani wadudu wamemnasa

lol huyo kazidisha..
 
Kitu unywele kuanzia kidevuni hadi.... Na kuanzia mgongoni hadi .......... Ukioga huna haja ya dodoki kugerate povu. Hadi raha.kama huna ulie tu!
 
minywele kichaka cha jasho.........

kwa taarifa yako wenye vinyweleo vingi ndio hawatoi jasho kwani njia za vinyweleo hivyo hutumika kupitisha hewa nje ya mwili. Ni nadra sana kukuta mwwenye garden love kaloa jasho kifuani tofauti na ambaye hana huwa analoa jasho chapa chapa.
 
Duuh kumbe waathirika wengi, habari ndio hiyo......
 
hapa utamu utaupata ukisoma koment za kike na research itakua imekamilika kama wewe ni wakiumeni
 
Halafu hizo nywele ndio nguo za asili za wanyama! sasa sijui wenye minywele wanavaa nguo za nini wakati Mungu keshawavika! LOL
Hahaha ndo maana wengine wanaachaga vifua wazi lbd wangekua nazo mwili mzima wasingevaa at all
 
wanaume ambao hawana ni vilaza kweli kweli in every aspect in lifeSi mnaona hatamaprofesa wazungu,wahindi waarabu full minywele full miakili
Wanaume ambao hawana nywele akili ni pungufu

kwa maelezo Nimeamini kweli wanawake kama wewe hawana akili kwakuwa wao pia wanasehemu chache za nywele , kichwani,kwapani, na kule uzazini ila wangekuwa na possibility kama ya mwanaume yaani ndevu, vinyweleo hadi kule kwa nyuma n.k basi nahsi Smile ungekuwa na akili, busara, uaminifu, hekima, penzi lako lisingeyumba, upendo wa kweli, utii n.k.
 
:nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono:

sikubaliani nawe, mwanamke hana Testosterone za kutoshana ndio maana haoti ndevu na hizo za kifuani ambaye anazo anahormone imbalance. Sasa wewe ikiwa cha kiume na hizo testosterone hazifanyi kazi, yani hazikusaidiii kuotesha sehemu zinazotakiwa as a man lazima utakuwa na upungufu fulani mojawapo ni kuwa kilaza

Acheni kubisha haisaidii kaoneni na madokta zaidi nendeni wikipedia mjue umuhimu ya hiyo hormone ukiwa mwathirika
 
kwa maelezo Nimeamini kweli wanawake kama wewe hawana akili kwakuwa wao pia wanasehemu chache za nywele , kichwani,kwapani, na kule uzazini ila wangekuwa na possibility kama ya mwanaume yaani ndevu, vinyweleo hadi kule kwa nyuma n.k basi nahsi Smile ungekuwa na akili, busara, uaminifu, hekima, penzi lako lisingeyumba, upendo wa kweli, utii n.k.
kaaazi kweli kweli
matatizo yakizidi muone daktari
 
Back
Top Bottom