Gabeji
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 1,530
- 1,903
Bila shaka wote ni wazima wa afya njema. Ndani ya CCM haitatokea Mwanasiasa kama kachelo marehemu Membe, aliweza kumpinga wazi wazi Raisi Magufuli juu ya demokrasia, ndani ya CCM.
Aliweza kuonesha nia ya kuchukua form ya kugombea urais kama sehemu ya kidemokrasia, mbali na vitisho alivyokuwa anapitia kutoka kwa JPM, lakini alisimimia msimamo wake.
Wanasiasa wengi Tanzania ni waoga, hawana ujasiri wala msimamo wa kuchalenji Rais kama anaenda kinyume na katiba ya CHAMA cha CCM.
NB: Kiongozi lazima uwe jasiri, hodari, shupavu, na mwenye msimamo juu ya kile unachokiamini. Mungu ibariki Tanzania
By mwinjilist wenu Gabeji