Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmh !Shida inakuja hata waliosoma wanapoanza kuwa chawa. Kabudi prf alikuwa chawa Pro kipindi cha JPM. alishindwa kujua kuwa sie ni wanadamu
Hata comrade Luhaga Joelson Mpina?Haitatokea mwana-CCM jasiri na shupavu kama Marehemu Kachelo Membe 2025
Kumbe Magufuli alikuwa mwenyewe waliomzunguka ni mbwa mwitu waliojifika ngozi ya kondooR.i.P Filikunjombe
R.i.P Magufuli
R.i.P Membe
Luhanga Mpina
Wengi wameingia kwenye siasa kama ajira na kwaajili ya matumbo yao
Tu anayetetea soko la sukari, kulinda soko la ndani, kulinda maslahi ya wakulima wa Miwa,R.i.P Filikunjombe
R.i.P Magufuli
R.i.P Membe
Luhanga Mpina
Wengi wameingia kwenye siasa kama ajira na kwaajili ya matumbo yao
Siyo kabeji, ni gabeji (gabage)"kachelo"??
Kweli wewe ni kabeji.
Naam, alikuwa ndiyo mteule wa Samia, alikuwa na Memo tayari ya kuwa mgombea mwenza mwakani 2025.Ndio amekufa bila kuwa Rais,nilishangaa heshima ya kijeshi aliyopewa wakati hana hata cheo cha jeshi,wala wadhifa wa wakuu wa nchi kama waziri mkuu au makamu wa Rais.
Sera zake anaonekana alitaka kwenda kusalimia viongozi wenzie huko duniani.
Hakika jamaa alikuwa jasili mbele ya ya ccm, wakati ule jpm alikuwa anatisha, wazee wote walifyata mkiaNaam, alikuwa ndiyo mteule wa Samia, alikuwa na Memo tayari ya kuwa mgombea mwenza mwakani 2025.
Ndo maana alipata mazishi ya heshima kubwa , lakini usisahau jamaa lilikuwa Bonge la jasusi bobezi Toka enzi ya Nyerere anashinda cordor za Ikulu, na kwenye KITENGO alikuwa anachambua taarifa za kiinteligensia.
Usisahau pia wizara aliyohudumu kwa miaka saba ni potential kweli kweli.
Membe Tanzania imepoteza mtu wa maana sana!
Rest In Peace Bernard Kamilius Membe.😭😭😭
Hakika
Hakika jamaa alikuwa jasili mbele ya ya ccm, wakati ule jpm alikuwa anatisha, wazee wote walifyata mkia
Utakuwa umepiga mwingi mkuu, njoo nayo ,I'li tujenge kizazi imara sio chawaSiku moja nitakuja na thread ya Whatsapp sms ambayo Membe alimtumia Magufuli saa 7 Usiku mpaka magufuli alinywea na kumpigia cm kikwete usiku uleule.
Nitaeleza pia namna alivyokatalia pengo Kardinal kumsamehe Musiba na sababu za kumkatalia kumsamehe Musiba Cyprian.
Kama una miaka 35 kushuka chini balaa utashuhudia siasa za kichawa.Ni shidakuu