Haitatokea mwana-CCM jasiri na shupavu kama Marehemu Kachelo Membe 2025

Gabeji

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2024
Posts
1,530
Reaction score
1,903
Bila shaka wote ni wazima wa afya njema. Ndani ya CCM haitatokea Mwanasiasa kama kachelo marehemu Membe, aliweza kumpinga wazi wazi Raisi Magufuli juu ya demokrasia, ndani ya CCM.

Aliweza kuonesha nia ya kuchukua form ya kugombea urais kama sehemu ya kidemokrasia, mbali na vitisho alivyokuwa anapitia kutoka kwa JPM, lakini alisimimia msimamo wake.

Wanasiasa wengi Tanzania ni waoga, hawana ujasiri wala msimamo wa kuchalenji Rais kama anaenda kinyume na katiba ya CHAMA cha CCM.

NB: Kiongozi lazima uwe jasiri, hodari, shupavu, na mwenye msimamo juu ya kile unachokiamini. Mungu ibariki Tanzania

By mwinjilist wenu Gabeji
 
Wana ccm waliowengi wanajadili ukosefu wa demokrasia kwenye vyama vya wenzao nje ya ccm lakini kwao walaaah. Hata ukichapisha form moja sawa tu mradi upo ndani ya chama cha majambazi sawa tu
 
Kila mtu chawa. Watu hatuna maji kwa muda sasa. Badala tupaze sauti juu ya maji. Jitu linapandisha uzi hapa ati pesa za join the chain sijui ujinga ujinga gani? Unafikiri chadema ikishakufa ndo matatizo ya watanzania yataisha? Hayaishi abadan
ELIMU ELIMU ELIMU ELIMU ELIMU ni muhimu
 
Shida inakuja hata waliosoma wanapoanza kuwa chawa. Kabudi prf alikuwa chawa Pro kipindi cha JPM. alishindwa kujua kuwa sie ni wanadamu
Elimu ya kizalendo mkuu, ya kujitambua yeye kwann MTANZANIA? afanye nn juu ya nchi yake, na sio elimu hiyo ya kikoloni na mavyeti.
 
Tanzania tunapenda kusifia hata vitu visivyo na maana.Yaan we are not only less developing country but underdeveloped country.
 
Kachelo
Kachelo ni lugha gani wee takataka? Gabage
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…