Haitatokea mwana-CCM jasiri na shupavu kama Marehemu Kachelo Membe 2025

Ni
Kama una miaka 35 kushuka chini balaa utashuhudia siasa za kichawa.
Ni kizazi ambacho kimepoteza utu mbele ya taifa letu pendwa la Tanzania.
 
Reactions: Tsh
Yeye pia hakuwa jasiri alikuwa laini tu mwisho wa siku alirudi CCM!
 
Kama mawaziri wakuu wote walirudi ccm yeye ni nani akatae
 
= kachero.

Hivi hizo shule milenda kusomea ujinga?
 
Sidhani kama alikuwa jasiri. Alikuwa anaangalia maslahi yake tu. Mwana CCM nitakayesema ni jasiri ni yule atakayepigana kufa na kupona kutaka tuwe na katiba mpya kwa sababu ubovu wa katiba yetu ndiyo nguvu ya CCM.
 
Subiri 2025 utapata jibu la swali lako
 
Kwa
 
Filikunjombe ameifanyia nn nchi hii, we ni mwehu km Mpina. Sasa mshamba km Mpina unampongeza kwa lipi, au ni kusema ndege wanaofanana huruka pamoja?
Mchango wao ni mdogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…