Haitatokea Rais shujaa kama Samia yupo imara katikati ya vita vikali vya uchumi duniani

SAMIA MUUAJI + MHAINI
 
Hahaha vita ya uranium (in mwegulu's voice)? Tumewehuka kama vile ndo kwanza tumegundua madini ya kwanza kabisa wakati tushaachiwa mashimo kanda ya ziwa dhahabu imepigwa chini kwa chini kanda nzima!
Karibu kwenye mada.
Miaka ile kelele zile zililetwa na mabeberu ila kwa sasa wameshtukiwa
 
Kila la kheri na Mungu amtie nguvu
 
Shujaa wa ****** wako
 
Faki zati bichi. Hakuna kiongozi shujaa anayeua raia wake extrajudicially!
 
Mrs Maduro is next.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…