Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,526
- 34,057
- Thread starter
- #21
Waikoru,Unajipa matumain hewa,...
Labda imebadilika huko madrasatun
Hapana haja ya kukejeli madrasa.
Madrasa hazihusiki katika somo hili la historia.
Mimi nazungumza historia hii Vyuo Vikuu.
Hapo chini hiyo ni Columbia University, New York.