Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,526
- 34,057
- Thread starter
-
- #21
Waikoru,Unajipa matumain hewa,...
Labda imebadilika huko madrasatun
Pumbavu wewe, unazungumzia uhuru gani labda?
Economist,Kitendo cha Nyerere kumbwaga huyo Sykes wako kwenye uchaguzi wa Rais wa TANU pale Anatoglou hall ulikuwa ushindi mkubwa. Maana angeshinda huyo Sykes wako ungetusumbua sana wewe mdini . Ungekuwa unatukana wale wasio.waislamu
Mwafrika...Sasa Moh, si ulishasema umesahihisha. Mbona tena una hofu ya 'kupenyeza historia mbadala' . Nani huyo anapenyeza sasa anapenyeza historia mbadala wakati wakati wewe ndiye pekee unayetakiwa kuandika na wengine wakae kitako.