Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,339
- 6,666
Mchango na ushauri mzuri sana! Tatizo la hawa vijana wetu (wasanii) wanaishi maisha ya kuigiza sana!... madharau, umimi, kuvimbiana, kurogana, kusemana vibaya na majivuno, mwisho wa siku wanaadhirika kama hivi.Wasanii waunde umoja wa kusaidiana wawe wanachangia hata 20,000 kila mwezi ,
Mmoja akipata shida wanatoa.
Mbona wauza kitimoto wa kimara wanaotokea Moshi wanafanya?
Au ule umoja wa w.auza mayai kutoka kiabakari Musoma waishio Kitunda
Kwa uwoya utasugua gaga, kwao kupo vizuri.Ninavyowasubiri kwa hamu Kajala na Uwoya, we acha tu waendelee kutuita mbwa tusiojua kuishi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bilnas na mkewe Nandy ni matajiri wamsaidie
Bongo kila mtu msanii siku hiziMpaka Uzi ulipofikia hakuna aliyemtambua huyu msanii pamoja na huyo meku mpokea michango.
Si waende kwa uwoya
Bongo fuleva muzee wangu.Wasanii wamenipita kushoto. Huyo ni msanii wa kitu gani
Billnas atoe pesa ya iPhone moja achangie matibabu Kama Ni laki Saba zile simu wanazo uza si zinabei ya mamilioni kadhaa.nilisoma sehemu matibabu yake ni kiasi cha laki 7, nikasema kwa msanii na wasanii kwa umoja wao hili wanaweza limudu nimeshangaa wanavyo likwepa
Le bilionea anachukua mkopo wa mill 40? LolSi waende kwa uwoya
Hilo tatizo analimaliza mwenyewe
Le bilionea
Ova
Umenifurahisha sanaMsanii anaimba mziki,ameolewa na niite bosheni Nadhani mchora tattoo yule kaka maarufu (watanisahihisha)...!!!
Mpumbavu mwenyewe
Subir na wenyewe wakiumwa ndio utajua kama ni matajiri kweli au ndio usanii wenyewe.Billnas atoe pesa ya iPhone moja achangie matibabu Kama Ni laki Saba zile simu wanazo uza si zinabei ya mamilioni kadhaa.
Mkuu sio roho mbaya....angalia hao wasanii wakiwa na afya wanavyoishi....then urudi uungane na mwamba happAcha Roho mbaya mkuu. Roho mbaya haijengi.π€£πππ
Mtei Ni mme wake anachora sanaaa wasanii ma tattooHuyo ndio nani ni msanii wa nini na huyo Mtei mpokea michango ni nani hasa. Taratibu za kuomba michango mbona zimekaa kienyeji hazishawishi
Kuna magonjwa mtu akipata yanakata account ya bank.. Kumbuka Ruge Mutahaba.. na mawe lakini mwisho wa siku walipitisha bakuli..Si waende kwa uwoya
Hilo tatizo analimaliza mwenyewe
Le bilionea
Ova
Ana kawimbo kake kanaitwa "nimeyakanyanga" kazuri kweli