Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,339
- 6,666
Mchango na ushauri mzuri sana! Tatizo la hawa vijana wetu (wasanii) wanaishi maisha ya kuigiza sana!... madharau, umimi, kuvimbiana, kurogana, kusemana vibaya na majivuno, mwisho wa siku wanaadhirika kama hivi.Wasanii waunde umoja wa kusaidiana wawe wanachangia hata 20,000 kila mwezi ,
Mmoja akipata shida wanatoa.
Mbona wauza kitimoto wa kimara wanaotokea Moshi wanafanya?
Au ule umoja wa w.auza mayai kutoka kiabakari Musoma waishio Kitunda