Atarogwa hadi matako yahamie usoni. Haiti 🇭🇹 ni wachawi sanaAmbaye akitawala alete hofu, nidhamu na utii wa sheria.
Kamanda wa jeshi la i kenya alikuwa akitangulia Haiti kuandaa mazingira ya jeshi la lkenya Haiti kulinda amani alikutwa kafa hotelini chumbani marekani akijiandaa kwenda Airport aende Haiti.Sababu ya kifo haijulikaniAtarogwa hadi matako yahamie usoni. Haiti 🇭🇹 ni wachawi sana
Hahaha voodooAtarogwa hadi matako yahamie usoni. Haiti 🇭🇹 ni wachawi sana
Uliposema hotelini nchini marekani ni tayari hilo la marekani ndiyo jibu.Kamanda wa jeshi la i kenya alikuwa akitangulia Haiti kuandaa mazingira ya jeshi la lkenya Haiti kulinda amani alikutwa kafa hotelini chumbani marekani akijiandaa kwenda Airport aende Haiti.Sababu ya kifo haijulikani
Mkuu mababu zao wangekubali Haiti kununuliwa na kuwa Jimbo la marekani wangeendelea na ingekuwa stable.Swala la kukataa ofa ya kununuliwa nakubaliana nao.
Namna wamavyo endesha mifumo yao ya maisha watajijua wenyewe
Bwana mishikaki naona hadi kamzuia rais kurejea nchini kwake.Mzuka wanajamvi!
Haiti inahitaji kiongozi kama Paul Kagame wa Rwanda. Mkali strict katili na dikteta.
Ambaye akitawala alete hofu, nidhamu na utii wa sheria.
Kukiwa na utawala kama huu niliulezea kwenye hii nchi baada ya miaka kumi Haiti itakuwa kama Rwanda.
Upuuzi unaendelea Haiti unahuzunisha nakutuaibisha sana watu weusi.
Sasa hivi wanajuta kwa nini mababu zao karne ya 18 walikataa offer ya marekani kuinununua Haiti walivyofanya Alaska.
Kwa ilipofika haiti inahitaji dictator tu kunyooka, tena wapate dictator kijana akae kwa miaka 30 madarakani
Barbecue mpuuzi sanaBwana mishikaki naona hadi kamzuia rais kurejea nchini kwake.
Sema haiti ni failed state. Naona zigo sasa wamelimwangushia mke wa rais aliyeuawa kuwa ndiye alimuua mumewe. Wakati judge wa mwanzo alitaka kumhusisha rais wa sasa na zigo hlo jamaa akamuwahi akamfukuza.
Hapa sasa utasikia US waje waingilie ila mambo yakiwa poa hawawataki
Haiti ni taifa linaloongozwa na magenge hata huyo rais aliyepo ni corruptBarbecue mpuuzi sana
Duu huu ni unyama wa ajabu sana, ile watu weusi ni shidaView attachment 2931549
Sikuwahi kuona binadamu anamla binadamu mwenzie, ila Hawa Gangs wa Haiti ni balaa😭
Kumbe Marekani ilitaka inunua Haiti aiseeeeMzuka wanajamvi!
Haiti inahitaji kiongozi kama Paul Kagame wa Rwanda. Mkali strict katili na dikteta.
Ambaye akitawala alete hofu, nidhamu na utii wa sheria.
Kukiwa na utawala kama huu niliulezea kwenye hii nchi baada ya miaka kumi Haiti itakuwa kama Rwanda.
Upuuzi unaendelea Haiti unahuzunisha nakutuaibisha sana watu weusi.
Sasa hivi wanajuta kwa nini mababu zao karne ya 18 walikataa offer ya marekani kuinununua Haiti walivyofanya Alaska.
Ndo mkuu rais Andrew Johnson wa marekani 1868 alitaka kuinunua. Wahaiti wakakataaKumbe Marekani ilitaka inunua Haiti aiseeee