Haiti inahitaji sasa hivi kama Kagame

unaijua rwanda na kagame??
au umesema kwa bahari mbaya
 
Kagame labda ajitoe mhanga kama JPM na anajua kitakachofuata. Kupambana na wahujumu uchumi sio mchezo.
 
Niliwahi kumsikia PLO Lumumba anasema Ufaransa wana mkono wao na wameapa Haiti haitakaa ijue amani na kuepuka umasikini

Kwa sababu ya Emperor Dessalines ambae historia inamuandika kwamba alimshinda Napoleon. Aliua wazungu wengi sana huko Haiti.
Ni historia ambayo wafaransa hawapendi na hawataki kuisikia kabisa.
 
Hv anainunuaje? Yaan hela anapewa nani
Congress na senate. Wee si umeona hela ya Ukraine process inayopitia hadi sasa hivi bado. Siyo kama Jiwe alikuwa anakurupuka tu usiku wa manane na kumega hazina na kununua wapinzani uchwara kina katambi na mtatiro
 
Haiti ni a failed state. Hamna wa kuibadilisha. Haya ya sasa ivi yalishawahi kutoke miaka nenda zamani
 
Naunga mkono hoja
 
Ni kamanda gani huyo.? Mtajeni
 
Fuatilia kuanzia story ilipoanzia.
Kwahiyo wewe ukasupport bila kujiridhisha kwa taarifa za huyo kamanda? Nimesoma thread yote na sijaona jina wala chanzo cha habari kuhusu huyo kamanda wa jeshi la Kenya. Itakuwa vyema kama mkileta source ya hiyo taarifa hapa
 
hiyo nchi hakuna namna inapaswa kuchapwa nuclear wafe wote nchi ianze moja.
ww nae n mkatili wafe wote?? nikafikiri labda utazungumzia special force ambazo huwa zinasifika duniania lkn nazo zimenyamaza kimya so sad.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…