Haiti: Rais Jovenel Moise auawa akiwa nyumbani kwake. Mkewe ajeruhiwa

Haiti: Rais Jovenel Moise auawa akiwa nyumbani kwake. Mkewe ajeruhiwa

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
Rais wa Haiti, Jovenel Moïse ameuawa katika shambulio lililotokea kwenye makazi yake huku ikielezwa Mkewe amejeruhiwa

Taarifa za kifo chake zimetolewa na Waziri Mkuu wa Mpito, Claude Joseph ambaye anaongoza Nchi hiyo kwa sasa

1AB8774F-6333-48DF-A8DF-9E5363559F0D.jpeg

========

The president of Haiti, Jovenel Moise, was reportedly shot and killed in his home, the interim Prime Minister Claude Joseph announced Wednesday.

The president's residence has also put out a statement Wednesday saying the attack occurred around 1 a.m. and that the first lady was also wounded in the attack.

Jovenel Moïse was shot in his private residence by a ‘group of unidentified individuals’ – some of whom spoke Spanish – after they broke in at around 1am on Tuesday.

His death came just hours after appointing Prime Minister Ariel Henry on Tuesday.

Moïse has been ruling Haiti, the poorest country in the Americas, by decree, after legislative elections due in 2018 were delayed and following disputes on when his own term ends.

The United Nations Security Council, the US and Europe have called for free and transparent legislative and presidential elections to be held in Haiti by the end of 2021

CA6C1C91-974E-44D4-AC89-24CB5E2C8160.jpeg
 
Give them gun and they will kill themselves...if we are the same why we are white and thy are black...If blacks and arabs will rule this world [emoji288] ...the world gonna be not suitable place to live ..... what they know is only dancing and sex. ( Wakuu hizi n nukuu nmemix kuazia za netanyahu, trump, kluger wa boer trek )
 
Kwa hiyo Rais wa zamani wa Marekani JF Kenedy name statements hizi zinamuhusu?
 
Haiti made a pact with the devil...all the calamities of this world pass with a devastating storm in their country.
Kuna matetemeko, umaskini uliokirithi na magonjwa ya ajabu ajabu.
Time to rethink about their pact, if things had to change
 
Yaani jamani 😥😥😥😥
 
Nchi ilishakuwa kwenye hali mbaya sana ya kiusalama,watu mashuhuri walishaanza kutekwa mchana kweupe halafu watekaji wanadai pesa kutoka kwenye familia.

Mwezi April tu mwaka huu mchungaji maarufu Alitekwa akiwa kanisani tena akiwa na ibada ya live kwenye media wakiimba nyimbo za kuabudu.

Sijui muafaka wa hio nchi utakuwaje,unaweza kuangalia tukio la utekaji wa mchungaji na waimbaji wake hapa;

Mungu awasaidie
 
Haiti ni Afrika iliyopo huko katikakati ya bahari za the Caribbean Sea na the North Atlantic Ocean.

Ila changamoto zake zote ni za kiAfrika pamoja ipo mbali sana na bara letu la Afrika iwe kisiasa, kijamii, kiuchumi, kiafya, kibishara, miundombinu n.k changamoto ni zilezile pamoja ya kuwa wapo karibu na bara la Marekani ya Kaskazini na Marekani ya Kati .

Kwa miaka mingi imejitahidi kujikwamua lakini haipigi hatua kubwa kwenda mbele . Ilipata kupigana vita na dola kubwa za Hispania na Ufaransa na kuzishinda ikawekewa vikwazo kwa karne kadhaa ila pamoja ya kuwatimua waliokuwa wababe toka ulaya, ilipobaki huru imeshindwa kupiga hatua.

Pengine waAfrika tuna changamoto za inapokuja jinsi ya kuishi na Mataifa mengine ki geopolitiki bila kusahau elimu ya kimatendo na kujenga umoja wa kikanda ndiyo sababu za kuchelewesha maendeleo .

CASE STUDY : Palamagamba Kabudi ktk awamu ya tano, kutotambua umuhimu wa diplomasia ya uchumi, strategic studies za Geopolitics, kutafuta marafiki kimataifa mfano wenzetu Oman, Qatar, Taiwan , Korea ya Kusini n.k wameweza kucheza vizuri siasa za kimataifa kwa manufaa ya nchi zao zilizokuwa masikini kitambo na sasa zipo vizuru.

Battle of Vertières in 1803 Haitian Revolution
Attack and take of the Crête-à-Pierrot (March 24, 1802) by Auguste Raffet
The Haitian Revolution has often been described as the largest and most successful slave rebellion in the Western Hemisphere. Slaves initiated the rebellion in 1791 and by 1803 they had succeeded in ending not just slavery but French control over the colony. The Haitian Revolution, however, was much more complex, consisting of several revolutions going on simultaneously. These revolutions were influenced by the French Revolution of 1789, which would come to represent a new concept of human rights, universal citizenship, and participation in government.
In the 18th century, Saint Dominigue, as Haiti was then known, became France’s wealthiest overseas colony, largely because of its production of sugar, coffee, indigo, and cotton generated by an enslaved labor force. When the French Revolution broke out in 1789 there were five distinct sets of interest groups in the colony. There were white planters—who owned the plantations and the slaves—and petit blancs, who were artisans, shop keepers and teachers. Some of them also owned a few slaves. Together they numbered 40,000 of the colony’s residents. Many of the whites on Saint Dominigue began to support an independence movement that began when France imposed steep tariffs on the items imported into the colony. The planters were extremely disenchanted with France because they were forbidden to trade with any other nation. Furthermore, the white population of Saint-Dominique did not have any representation in France. Despite their calls for independence, both the planters and petit blancs remained committed to the institution of slavery: read more : source : Haitian Revolution (1791-1804) • Global African History •
 
Rais wa Haiti, Jovenel Moïse ameuawa katika shambulio lililotokea kwenye makazi yake huku ikielezwa Mkewe amejeruhiwa

Taarifa za kifo chake zimetolewa na Waziri Mkuu wa Mpito, Claude Joseph ambaye anaongoza Nchi hiyo kwa sasa

View attachment 1844482
========

The president of Haiti, Jovenel Moise, was reportedly shot and killed in his home, the interim Prime Minister Claude Joseph announced Wednesday.

The president's residence has also put out a statement Wednesday saying the attack occurred around 1 a.m. and that the first lady was also wounded in the attack.

Jovenel Moïse was shot in his private residence by a ‘group of unidentified individuals’ – some of whom spoke Spanish – after they broke in at around 1am on Tuesday.

His death came just hours after appointing Prime Minister Ariel Henry on Tuesday.

Moïse has been ruling Haiti, the poorest country in the Americas, by decree, after legislative elections due in 2018 were delayed and following disputes on when his own term ends.

The United Nations Security Council, the US and Europe have called for free and transparent legislative and presidential elections to be held in Haiti by the end of 2021

View attachment 1844456
Hii nchi baada ya kuwafukuza wazungu kwa mambo yao ya voodoo sidhani kama walibaki salama tena.
 
Back
Top Bottom