"Moïse amewahi kuwa na tuhuma za rushwa na mara kadhaa yametokea maandamano ya wananchi kumtaka ajiuzulu na mara ya mwisho yalishika kasi Januari, 2021."
"Upinzani ndani ya nchi hiyo ulisema mhula wa miaka mitano wa Moïse ulipaswa kumalizika Februari 7, 2021, hata hivyo mwenyewe alisisitiza kuwa alikuwa na mwaka mmoja zaidi wa kuwa madarakani."
Nimeikopi sehemu ya habari kuhusu kifo cha rais huyo, kutoka katika gazeti la mwananchi.
Ila viongozi wa dunia ya leo inabidi wajifuze kwamba, raia wamebadilika kweli, hawana uvumilivu na woga kama raia wa zamani. Kwa dunia ya leo madikteta hupata kazi sana kudumu tofauti na zamani.