Haiti: Rais Jovenel Moise auawa akiwa nyumbani kwake. Mkewe ajeruhiwa

Duh aisee
 
Ukiona vurugu kama hizi ujue lazima kuna mkono wa beberu
 
Daaah aisee ***** zao ndo walifika? Seems nusu ya raia ni type za akina Bashite!
 
Fantastic

Mkuu kama unaweza kuipata ile nukuu nzima ya Trump, naomba nipatie. Nimeitafuta sana sikuiona
 
Daaah aisee ***** zao ndo walifika? Seems nusu ya raia ni type za akina Bashite!
Kuna uhuni mno na nchi yanaendeshwa hovyo sana.

Mwaka 2010 Msanii maarufu wa Hiphop kutoka kundi la Fugees Wycliffe Jean ambaye ni Mzaliwa wa Haiti aliomba kugombea uraisi wa Nchini hiyo na alikuwa anakubalika sana lakini katika hali ya kushangaza Tume ya Uchaguzi iliondoa jina lake kimizengwe tena bila hata kupewa sababu za msingi,wakati huohuo aliishi Haiti kwa Kujificha maana alikuwa akitishiwa usalama wake,jamaa akaamua kukubali yaishe maana wafuasi wake walishaanza kuleta vurugu.

Huyu WyCliff amekuwa balozi wa kujitolea kwa nchi yake na amekuwa alitumia umaarufu wake Ku- mobilize misaada kutoka kwa watu mbalimbali wakiwemo wasanii wenzake kwa ajili ya kusaidia Haiti lakini hata hawakuona nia yake njema,huenda angeleta mabadiliko.
 
Hatari sana!
 
"In Haiti, democracy elicited instant US hostility and a murderous military coup, tacitly supported by the US; in Central America, a US-run terrorist war... [T]he US permitted democratic forms after establishing conditions that prevented them from functioning..." (Noam Chomsky).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…