Sasa hapa Magufuli kaingiaje wewe mwafrika mwenzanguMiafrika ni miwatu ya ajabu sana r.i.p maguful
USSR
Afadhali limeenda kupumzikaMiafrika ni miwatu ya ajabu sana r.i.p maguful
USSR
Katiba mpya italeta mambo mengi!"Moïse amewahi kuwa na tuhuma za rushwa na mara kadhaa yametokea maandamano ya wananchi kumtaka ajiuzulu na mara ya mwisho yalishika kasi Januari, 2021."
"Upinzani ndani ya nchi hiyo ulisema mhula wa miaka mitano wa Moïse ulipaswa kumalizika Februari 7, 2021, hata hivyo mwenyewe alisisitiza kuwa alikuwa na mwaka mmoja zaidi wa kuwa madarakani."
Nimeikopi sehemu ya habari kuhusu kifo cha rais huyo, kutoka katika gazeti la mwananchi.
Ila viongozi wa dunia ya leo inabidi wajifuze kwamba, raia wamebadilika kweli, hawana uvumilivu na woga kama raia wa zamani. Kwa dunia ya leo madikteta hupata kazi sana kudumu tofauti na zamani.
Waongwanishe na nchi gan mkuu..Wakubari tu kuunganishwa na nchi ya jirani kwani lazima wawe nchii
Wajuba wamepinda ila wangesubiri kapu la sadaka ndio ingependeza zaidiNchi ilishakuwa kwenye hali mbaya sana ya kiusalama,watu mashuhuri walishaanza kutekwa mchana kweupe halafu watekaji wanadai pesa kutoka kwenye familia.
Mwezi April tu mwaka huu mchungaji maarufu Alitekwa akiwa kanisani tena akiwa na ibada ya live kwenye media wakiimba nyimbo za kuabudu.
Sijui muafaka wa hio nchi utakuwaje,unaweza kuangalia tukio la utekaji wa mchungaji na waimbaji wake hapa;
Haiti na KONGO wanafanana.....Rais wa Haiti, Jovenel Moïse ameuawa katika shambulio lililotokea kwenye makazi yake huku ikielezwa Mkewe amejeruhiwa
Taarifa za kifo chake zimetolewa na Waziri Mkuu wa Mpito, Claude Joseph ambaye anaongoza Nchi hiyo kwa sasa
View attachment 1844482
========
The president of Haiti, Jovenel Moise, was reportedly shot and killed in his home, the interim Prime Minister Claude Joseph announced Wednesday.
The president's residence has also put out a statement Wednesday saying the attack occurred around 1 a.m. and that the first lady was also wounded in the attack.
Jovenel Moïse was shot in his private residence by a ‘group of unidentified individuals’ – some of whom spoke Spanish – after they broke in at around 1am on Tuesday.
His death came just hours after appointing Prime Minister Ariel Henry on Tuesday.
Moïse has been ruling Haiti, the poorest country in the Americas, by decree, after legislative elections due in 2018 were delayed and following disputes on when his own term ends.
The United Nations Security Council, the US and Europe have called for free and transparent legislative and presidential elections to be held in Haiti by the end of 2021
View attachment 1844456
WHITE SUPREMACY'S ideology....Give them gun and they will kill themselves...if we are the same why we are white and thy are black...If blacks and arabs will rule this world [emoji288] ...the world gonna be not suitable place to live ..... what they know is only dancing and sex. ( Wakuu hizi n nukuu nmemix kuazia za netanyahu, trump, kluger wa boer trek )
Haiti ni nchi....si TAIFA....Wajuba wamepinda ila wangesubiri kapu la sadaka ndio ingependeza zaidi
Nalog off
Ya but thy are real Truth weusi weng hawana akili wenye akili tupo wachache sanaWHITE SUPREMACY'S ideology....
🤣🤣🤣Ya but thy are real Truth weusi weng hawana akili wenye akili tupo wachache sana
Nini tofauti ya nchi na TaifaHaiti ni nchi....si TAIFA....
Kongo ni nchi....si TAIFA....
I'm the only permanent ....hahahahahah[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38], just a joke.ni Mungu tu ndo aishie milele.Rip Hon.president all of us we're passing no one is permanent
Mmh inatisha sana!