Haiti made a pact with the devil...all the calamities of this world pass with a devastating storm in their country.
Kuna matetemeko, umaskini uliokirithi na magonjwa ya ajabu ajabu.
Time to rethink about their pact, if things had to change
Kabisa! Haiti is unstable, Ni washirikina wa kutupwa na umehalalishwa tangu nchi ipate Uhuru. Anayetaka kujua zaidi aende YouTube aka-search 'Haitian Voodoo' atachoka mwili na rohoHakuna nchi hapo
Even a rock isn't permanentI'm the only permanent ....hahahahahah[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38], just a joke.ni Mungu tu ndo aishie milele.
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Saa zingine beberu haingilii kama huna kitu cha kumpa, Haiti haina chochote zaidi ya UmasikiniUkiona vurugu kama hizi ujue lazima kuna mkono wa beberu
Hiyo ni inside job
Cha kushangaza kulingana na ripoti ya Aljazeera hakuna mlinzi aliyejeruhiwa Wala kuuawa wakati wa uvamizi
Huyo marehemu jingaman uliyemtaja ndo alitufanya tuonekane wa ajabu na kituko zaidi dunianiMiafrika ni miwatu ya ajabu sana r.i.p maguful
USSR