Hii mambo ni moto! Raia wa Haiti wamechachamaa baada ya kuskia Kenyan police wako under MSS wanapack bags kurudi home. Badala ya kushangilia, watu wameingia streets wakisema “msituache kwa mikono ya gangs!”
Kwa video imeleak online, wananchi waliblock roads kabisa kuelekea St. Marks na Pont Sonde, wakizuia movement ya maafisa wa Kenya. Situation ilikuwa tense hadi helicopters zikaingilia kubeba officers kutoka Petite Rivière juu roads zilikuwa barricaded vibaya sana.
Wananchi wengi wanadai Kenyan forces walikuwa wameanza kurestore some order kwa ground, so exit yao imeleta fear mob sana. Wanasema security bado haijakuwa stable, na gangs bado ni threat kubwa kwa maisha yao ya kila siku.
Meanwhile, baton sasa inapass kwa new unit Gang Suppression Force (GSF), yenye iliapprove na UN mwaka jana. Kikosi hiki kitaongozwa na maafisa kutoka Chad, na first batch tayari imefika Haiti mapema April.
Leadership pia imechange South African UN official, Jack Christofides, anachukua over kutoka kwa Kenya’s Godfrey Otunge, ambaye alikuwa anaongoza MSS mission.
Swali kubwa kwa ground ni hii:
Je, GSF wataweza match impact ya Wakenya ama hali itarudi chaos?
Kwa sasa, Haiti iko kwa crossroad hope vs uncertainty.
Source: Citizen digital