Haiwezekani Air Tanzania iwe na ndege inayotoza Tsh. 100,000/- kwa safari za ndani?

Nenda Ulaya basi, huku sisi tupo Tanzania.
Kuanza kuwaza na kuplania vitu visivyowezekana we kuweza?
Tukienda kwa data tutaelewana zaidi na sio kwa ushabiki; Nimeandika hivi;
Ndege ya kawaida ya Abiria 170 inaweza kufanya safari 6 kwa siku (mchana) ambapo ikicharge shs 100,000 inaweza kupata angalau shs 80,000,000 na hapo ni kwa ndege moja tu ya kawaida na tunayo mengi
Mfano tu;' kesho Ijumaa:
Arusha to Dar wameweka kandege kamoja tu tena jioni ya saa kumi...
Wakati Ijumaa na Jumatatu ni peak na hata Jpili? Enewei sitaki kuingilia kazi ya watu walio aminiwa na Muheshimiwa
 
Hivi haiwezekani ATC iwe na ndege ambayo kwa mfano itacharge shs 100,000/- kwa safari za ndani ya nchi na iwe maalum kwa viwanja vyenye abiria wa kujaza ndege.

Mfano: Mwanza, Kigoma, Kilimanjaro, Arusha, Dodoma (hata mara 4 kwa siku).

Mbadala wake, waruhusu mabasi yatembee usiku; ili yafike yanakokwenda asubuhi.

Ukweli tunapoteza muda mwingi sana barabarani.

Chukua mabasi 500 yanatembea mchana kutwa. Ina maana kuna karibia 25,000 hawafanyi kazi mchana kutwa.
duh we gharama za kurudha ndege unazijua?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe kama unazijua naomba utuwekee hapa tafadhali
Ninachojua mimi kinachosumbua kwenye ndege ni kupata abiria wakutosha, na hiyo uncertainty ndiyo hufanya nauli iwekwe juu ili ikikosa abiria hata wakipatikana robo hasa viwanja vya huko mikoani iweze kuruka...
 
Sahz kwenyew ishapanda ni 170 😀😀😀
Imepanda lini?

March nilienda na 99,600, Air Tanzania.

Kwani boat si zipo aisee 😂
Yan hapo Znz to ndio iwe laki 2 kasoro elf 30? Hapana asee
 
Hivi haiwezekani ATC iwe na ndege ambayo kwa mfano itacharge shs 100,000/- kwa safari za ndani ya nchi na iwe maalum kwa viwanja vyenye abiria wa kujaza ndege.

Mfano: Mwanza, Kigoma, Kilimanjaro, Arusha, Dodoma (hata mara 4 kwa siku).

Mbadala wake, waruhusu mabasi yatembee usiku; ili yafike yanakokwenda asubuhi.

Ukweli tunapoteza muda mwingi sana barabarani.

Chukua mabasi 500 yanatembea mchana kutwa. Ina maana kuna karibia 25,000 hawafanyi kazi mchana kutwa.
Zilikuwepo wakati fulani ila mwsho wa mwaka CAG alisema shirika lina vegative profit
 
Imepanda lini?

March nilienda na 99,600, Air Tanzania.

Kwani boat si zipo aisee 😂
Yan hapo Znz to ndio iwe laki 2 kasoro elf 30? Hapana asee

Nimetoka Juzi kati mzee kama Wiki tatu zilizopita hahaha
Hahahaha😅😅😅

Ngoja nikucheckie kwwnye website yao kama haijazidi maana kila wiki wanazidisha
 
Umeona bei za kesho hizi hizi 😅😅😅
Screenshot_20231012-202847.png
 
Hivi haiwezekani ATC iwe na ndege ambayo kwa mfano itacharge shs 100,000/- kwa safari za ndani ya nchi na iwe maalum kwa viwanja vyenye abiria wa kujaza ndege.

Mfano: Mwanza, Kigoma, Kilimanjaro, Arusha, Dodoma (hata mara 4 kwa siku).

Mbadala wake, waruhusu mabasi yatembee usiku; ili yafike yanakokwenda asubuhi.

Ukweli tunapoteza muda mwingi sana barabarani.

Chukua mabasi 500 yanatembea mchana kutwa. Ina maana kuna karibia 25,000 hawafanyi kazi mchana kutwa.
wazo zuri,
tumelichukua kuona kama tunaweza kufanya hivyo.
Asant.
 
Nimetoka Juzi kati mzee kama Wiki tatu zilizopita hahaha
Hahahaha😅😅😅

Ngoja nikucheckie kwwnye website yao kama haijazidi maana kila wiki wanazidisha
Tutapanda Azam jamani
 
Y
Umeona bei za kesho hizi hizi 😅😅😅
View attachment 2780208
Yaani wanaweka bei sawa na C208 (Caravan ya abiria 12).
Nafikiri kwa ukubwa wa ndege zao, wangeweza kucharge angalau nusu ya bei ya Caravan ya abiria 12 na pengine wakawa na shuttle ya mara 10 kwa siku (Kila lisaa) acha tu.....
Biashara ya sasa inatakiwa kuuza sana ndio ukusanye faida na sio kuuza kidogo kwa faida kubwa.
Najiuliza tu; ka flight kama ka dar to ZNZ dkk 15 unaweka class 6 kweli? naona kabisa hii ni copy paste!
 
Back
Top Bottom