Haiwezekani kushughulikiana kisiasa bila kutekana na kuumizana? Au mifumo ya kisiasa (kuvumiliana) imefeli?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Haya mambo ya kuteka na Kutekwa tukiyachekea huwa Tabia na yatahamia kila mahali hadi Kwa akina Simba na Yanga, hadi kwa Wafanyabiashara tena hadi Kwa viongozi wa Dini

Mungu wa Mbinguni aingilie Kati Siasa za Teka Teka zifike mwisho

Wenzetu Kenya sasa wanateka Raia wa kigeni (Watalii) hali ni mbaya sana Tanzania tusifike huko

Nawatakia Dominica Njema 🌹
 
Kama haki, uadilifu na elimu ni duni, usitegemee chochote pungufu ya miereka, mikwido, vifuti na kukatana mitama.
 
Haya mambo ya kuteka na Kutekwa tukiyachekea huwa Tabia na yatahamia kila mahali hadi Kwa akina Simba na Yanga, hadi kwa Wafanyabiashara tena hadi Kwa viongozi wa Dini hasa Wagalatia na Muslim

Mungu wa Mbinguni aingilie Kati Siasa za Teka Teka zifike mwisho

Wenzetu Kenya sasa wanateka Raia wa kigeni ( Watalii) hali ni mbaya sana Tanzania tusifike huko

Nawatakia Dominica Njema 🌹
Haya maujinga yalianzishwa na yule Magufuli wako unayemuabudu na kumuita shujaa. Itachukua muda kurekebisha na kurudi kwenye tulikuwa
 
Haya mambo ya kuteka na Kutekwa tukiyachekea huwa Tabia na yatahamia kila mahali hadi Kwa akina Simba na Yanga, hadi kwa Wafanyabiashara tena hadi Kwa viongozi wa Dini

Mungu wa Mbinguni aingilie Kati Siasa za Teka Teka zifike mwisho

Wenzetu Kenya sasa wanateka Raia wa kigeni (Watalii) hali ni mbaya sana Tanzania tusifike huko

Nawatakia Dominica Njema 🌹
Hakuna uwezekano wa hali hiyo kuisha. Haya ni madhara ya kuacha chama kimoja kukaa madarakini muda mrefu, tena bila ridhaa ya wananchi. Ili chama hicho kiendelee kukaa madarakani, njia za kihalifu huwa na kinga yake kubwa.
 
Waambie hao ccm
 
Lisilowezekana kwa Wanadamu kwa Mungu linawezekana 😀
 
Haya mambo ya kuteka na Kutekwa tukiyachekea huwa Tabia na yatahamia kila mahali hadi Kwa akina Simba na Yanga, hadi kwa Wafanyabiashara tena hadi Kwa viongozi wa Dini

Mungu wa Mbinguni aingilie Kati Siasa za Teka Teka zifike mwisho

Wenzetu Kenya sasa wanateka Raia wa kigeni (Watalii) hali ni mbaya sana Tanzania tusifike huko

Nawatakia Dominica Njema 🌹
Kwenye nchi yoyote ile ambayo yenye Utawala unaofuata Siasa za Itikadi ya Ukomunisti, suala la Watu kutekwa, kuteswa au kuuawa ni Jambo la kawaida kabisa, Wala siyo kitu cha kushangaza. Fanya utafiti wako binafsi kuhusu suala hili kwenye nchi zingine zenye tawala za Siasa za Kikomunisti Kama vile Urusi China, Belarus, Korea ya Kaskazini, n.k utaona kwamba rekodi za matukio ya namna hii zipo nyingi Sana.
Aidha, pia kwenye nchi hizo zenye Siasa za Kikomunisti kuna matumizi makubwa Sana ya Silaha za Kibaiolojia (destructive biological weapons) katika kuwaangamiza watu, hususani wale Watu wakosoaji wa utawala uliopo madarakani. Mfano mzuri zaidi kwenye suala hili ni nchi ya Urusi, ambayo inaongoza duniani kote kwa Sasa na hata tangu miaka mingi kwa vitendo vyake viovu vya kuua watu wakosoaji wa Serikali kwa kutumia SUMU. Kuna vifo vingi sana vya watu wanaouawa kwa kuwekewa sumu na Mawakala wa Siri kutoka Idara ya Ujasusi ya nchi hiyo ya Urusi, yaani KGB/FSB. Na katika hali ya kusikitisha sana, Idara ya Ujasusi ya KGB/FSB nje kidogo ya Jiji la Moscow wanayo Maabara Kubwa au kiwanda Chao kikubwa cha utafiti, ugunduzi na kutengeneza hizo Silaha za Kibaiolojia (Sumu za Kuua watu) ambazo wamekuwa wakizitumia dhidi ya Wakosoaji wa Utawala wa huko na sumu zingine kusambazwa katika nchi zingine ambazo ni marafiki wa watawala wa Urusi.
 
Haya mambo ya kuteka na Kutekwa tukiyachekea huwa Tabia na yatahamia kila mahali hadi Kwa akina Simba na Yanga, hadi kwa Wafanyabiashara tena hadi Kwa viongozi wa Dini

Mungu wa Mbinguni aingilie Kati Siasa za Teka Teka zifike mwisho

Wenzetu Kenya sasa wanateka Raia wa kigeni (Watalii) hali ni mbaya sana Tanzania tusifike huko

Nawatakia Dominica Njema 🌹
Taifa la watu wasijulika ambao wengine hawayakiwi wajulikane

Tume zinaundwa nyuma ya mikamera majibu ya hizo tume nyuma ya pazia
 
Haya mambo ya kuteka na Kutekwa tukiyachekea huwa Tabia na yatahamia kila mahali hadi Kwa akina Simba na Yanga, hadi kwa Wafanyabiashara tena hadi Kwa viongozi wa Dini

Mungu wa Mbinguni aingilie Kati Siasa za Teka Teka zifike mwisho

Wenzetu Kenya sasa wanateka Raia wa kigeni (Watalii) hali ni mbaya sana Tanzania tusifike huko

Nawatakia Dominica Njema 🌹
Mbona yashahamia,huoni jamii inavyotekana

Ova
 
Hakuna uwezekano wa hali hiyo kuisha. Haya ni madhara ya kuacha chama kimoja kukaa madarakini muda mrefu, tena bila ridhaa ya wananchi. Ili chama hicho kiendelee kukaa madarakani, njia za kihalifu huwa ni kinga yake kubwa.
Excellent point. Nchi nyingi zilizoharibikiwa na kuwa failed states zilianza hivi hivi. Huku makundi ya machawa, kwa uzuzu wao, yakishabikia na kufurahia mwenendo huo yakifikiri ni suala la upande "wao" wenye nguvu za dola dhidi ya kundi fulani "adui" la upinzani wasio na uwezo wowote. Matokeo yalikuwa ni kuimarisha magenge ya watawala wanaotegemea ukatili na mauaji, magenge ambayo baadaye katika kugombania madaraka yakageukana na kuanza harakati za kuangamizana na kuangamiza taifa kwa ujumla.

No one has monopoly of violence, cruelty and killing. Tuendelee kutengeneza taifa la makatili na wauaji miongoni mwa ndugu, majirani na marafiki katika jamii yenye tamaa ya madaraka huku tukiendelea kuimba nyimbo mfu za kuombea amani na utulivu nchini. It's just a matter of time before this house of cards blows up into shards of real, apocalyptic misery.
 
Haya mambo ya kuteka na Kutekwa tukiyachekea huwa Tabia na yatahamia kila mahali hadi Kwa akina Simba na Yanga, hadi kwa Wafanyabiashara tena hadi Kwa viongozi wa Dini

Mungu wa Mbinguni aingilie Kati Siasa za Teka Teka zifike mwisho

Wenzetu Kenya sasa wanateka Raia wa kigeni (Watalii) hali ni mbaya sana Tanzania tusifike huko

Nawatakia Dominica Njema 🌹
Leo umeamka na akili timamu
 
Excellent point. Nchi nyingi zilizoharibikiwa na kuwa failed states zilianza hivi hivi. Huku makundi ya machawa, kwa uzuzu wao, yakishabikia na kufurahia mwenendo huo yakifikiri ni suala la upande "wao" wenye nguvu za dola dhidi ya kundi fulani "adui" la upinzani wasio na uwezo wowote. Matokeo yalikuwa ni kuimarisha magenge ya watawala wanaotegemea ukatili na mauaji, magenge ambayo baadaye katika kugombania madaraka yakageukana na kuanza harakati za kuangamizana na kuangamiza taifa kwa ujumla.

No one has monopoly of violence, cruelty and killing. Tuendelee kutengeneza taifa la makatili na wauaji miongoni mwa ndugu, majirani na marafiki katika jamii yenye tamaa ya madaraka huku tukiendelea kuimba nyimbo mfu za kuombea amani na utulivu nchini. It's just a matter of time before this house of cards blows up into shards of real, apocalyptic misery.
Haya matukio wanapaswa kuondolewa Waziri Mkuu, Waziri wa mambo ya ndani na IGP pamoja na kushitakiwa haraka
 
Back
Top Bottom