johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Haya maujinga yalianzishwa na yule Magufuli wako unayemuabudu na kumuita shujaa. Itachukua muda kurekebisha na kurudi kwenye tulikuwaHaya mambo ya kuteka na Kutekwa tukiyachekea huwa Tabia na yatahamia kila mahali hadi Kwa akina Simba na Yanga, hadi kwa Wafanyabiashara tena hadi Kwa viongozi wa Dini hasa Wagalatia na Muslim
Mungu wa Mbinguni aingilie Kati Siasa za Teka Teka zifike mwisho
Wenzetu Kenya sasa wanateka Raia wa kigeni ( Watalii) hali ni mbaya sana Tanzania tusifike huko
Nawatakia Dominica Njema 🌹
Alianzishia Mabwepande?!🐼Haya maujinga yalianzishwa na yule Magufuli wako unayemuabudu na kumuita shujaa. Itachukua muda kurekebisha na kurudi kwenye tulikuwa
Chura Kiziwi baada ya kushindwa kuongoza Sasa amekimbilia kwenye huo uwendawazimu wa kutekana. Labda anaona inaweza msaidia.Haya maujinga yalianzishwa na yule Magufuli wako unayemuabudu na kumuita shujaa. Itachukua muda kurekebisha na kurudi kwenye tulikuwa
Hakuna uwezekano wa hali hiyo kuisha. Haya ni madhara ya kuacha chama kimoja kukaa madarakini muda mrefu, tena bila ridhaa ya wananchi. Ili chama hicho kiendelee kukaa madarakani, njia za kihalifu huwa na kinga yake kubwa.Haya mambo ya kuteka na Kutekwa tukiyachekea huwa Tabia na yatahamia kila mahali hadi Kwa akina Simba na Yanga, hadi kwa Wafanyabiashara tena hadi Kwa viongozi wa Dini
Mungu wa Mbinguni aingilie Kati Siasa za Teka Teka zifike mwisho
Wenzetu Kenya sasa wanateka Raia wa kigeni (Watalii) hali ni mbaya sana Tanzania tusifike huko
Nawatakia Dominica Njema 🌹
Waambie hao ccmHaya mambo ya kuteka na Kutekwa tukiyachekea huwa Tabia na yatahamia kila mahali hadi Kwa akina Simba na Yanga, hadi kwa Wafanyabiashara tena hadi Kwa viongozi wa Dini
Mungu wa Mbinguni aingilie Kati Siasa za Teka Teka zifike mwisho
Wenzetu Kenya sasa wanateka Raia wa kigeni (Watalii) hali ni mbaya sana Tanzania tusifike huko
Nawatakia Dominica Njema 🌹
Lisilowezekana kwa Wanadamu kwa Mungu linawezekana 😀Hakuna uwezekano wa hali hiyo kuisha. Haya ni madhara ya kuacha chama kimoja kukaa madarakini muda mrefu, tena bila ridhaa ya wananchi. Ili chama hicho kiendelee kukaa madarakani, njia za kihalifu huwa na kinga yake kubwa.
Dr Ulimboka 🐼Huo ndiyo 'Urithi' tulioachiwa na shujaa.
Kwenye nchi yoyote ile ambayo yenye Utawala unaofuata Siasa za Itikadi ya Ukomunisti, suala la Watu kutekwa, kuteswa au kuuawa ni Jambo la kawaida kabisa, Wala siyo kitu cha kushangaza. Fanya utafiti wako binafsi kuhusu suala hili kwenye nchi zingine zenye tawala za Siasa za Kikomunisti Kama vile Urusi China, Belarus, Korea ya Kaskazini, n.k utaona kwamba rekodi za matukio ya namna hii zipo nyingi Sana.Haya mambo ya kuteka na Kutekwa tukiyachekea huwa Tabia na yatahamia kila mahali hadi Kwa akina Simba na Yanga, hadi kwa Wafanyabiashara tena hadi Kwa viongozi wa Dini
Mungu wa Mbinguni aingilie Kati Siasa za Teka Teka zifike mwisho
Wenzetu Kenya sasa wanateka Raia wa kigeni (Watalii) hali ni mbaya sana Tanzania tusifike huko
Nawatakia Dominica Njema 🌹
Taifa la watu wasijulika ambao wengine hawayakiwi wajulikaneHaya mambo ya kuteka na Kutekwa tukiyachekea huwa Tabia na yatahamia kila mahali hadi Kwa akina Simba na Yanga, hadi kwa Wafanyabiashara tena hadi Kwa viongozi wa Dini
Mungu wa Mbinguni aingilie Kati Siasa za Teka Teka zifike mwisho
Wenzetu Kenya sasa wanateka Raia wa kigeni (Watalii) hali ni mbaya sana Tanzania tusifike huko
Nawatakia Dominica Njema 🌹
Huwezi kulinganisha issue ya Ulimboka moja tu kwenye miaka 10 ya JK dhidi ya mamia ya waliokufa kwenye viroba na kutupwa baharini kwa miaka 5 kipindi cha MwendazakeAlianzishia Mabwepande?!🐼
Bure Kabisa
Mbona yashahamia,huoni jamii inavyotekanaHaya mambo ya kuteka na Kutekwa tukiyachekea huwa Tabia na yatahamia kila mahali hadi Kwa akina Simba na Yanga, hadi kwa Wafanyabiashara tena hadi Kwa viongozi wa Dini
Mungu wa Mbinguni aingilie Kati Siasa za Teka Teka zifike mwisho
Wenzetu Kenya sasa wanateka Raia wa kigeni (Watalii) hali ni mbaya sana Tanzania tusifike huko
Nawatakia Dominica Njema 🌹
tulikokuwakwenye tulikuwa
Excellent point. Nchi nyingi zilizoharibikiwa na kuwa failed states zilianza hivi hivi. Huku makundi ya machawa, kwa uzuzu wao, yakishabikia na kufurahia mwenendo huo yakifikiri ni suala la upande "wao" wenye nguvu za dola dhidi ya kundi fulani "adui" la upinzani wasio na uwezo wowote. Matokeo yalikuwa ni kuimarisha magenge ya watawala wanaotegemea ukatili na mauaji, magenge ambayo baadaye katika kugombania madaraka yakageukana na kuanza harakati za kuangamizana na kuangamiza taifa kwa ujumla.Hakuna uwezekano wa hali hiyo kuisha. Haya ni madhara ya kuacha chama kimoja kukaa madarakini muda mrefu, tena bila ridhaa ya wananchi. Ili chama hicho kiendelee kukaa madarakani, njia za kihalifu huwa ni kinga yake kubwa.
Leo umeamka na akili timamuHaya mambo ya kuteka na Kutekwa tukiyachekea huwa Tabia na yatahamia kila mahali hadi Kwa akina Simba na Yanga, hadi kwa Wafanyabiashara tena hadi Kwa viongozi wa Dini
Mungu wa Mbinguni aingilie Kati Siasa za Teka Teka zifike mwisho
Wenzetu Kenya sasa wanateka Raia wa kigeni (Watalii) hali ni mbaya sana Tanzania tusifike huko
Nawatakia Dominica Njema 🌹
Haya matukio wanapaswa kuondolewa Waziri Mkuu, Waziri wa mambo ya ndani na IGP pamoja na kushitakiwa harakaExcellent point. Nchi nyingi zilizoharibikiwa na kuwa failed states zilianza hivi hivi. Huku makundi ya machawa, kwa uzuzu wao, yakishabikia na kufurahia mwenendo huo yakifikiri ni suala la upande "wao" wenye nguvu za dola dhidi ya kundi fulani "adui" la upinzani wasio na uwezo wowote. Matokeo yalikuwa ni kuimarisha magenge ya watawala wanaotegemea ukatili na mauaji, magenge ambayo baadaye katika kugombania madaraka yakageukana na kuanza harakati za kuangamizana na kuangamiza taifa kwa ujumla.
No one has monopoly of violence, cruelty and killing. Tuendelee kutengeneza taifa la makatili na wauaji miongoni mwa ndugu, majirani na marafiki katika jamii yenye tamaa ya madaraka huku tukiendelea kuimba nyimbo mfu za kuombea amani na utulivu nchini. It's just a matter of time before this house of cards blows up into shards of real, apocalyptic misery.