johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #21
IMTUHuwezi kulinganisha issue ya Ulimboka moja tu kwenye miaka 10 ya JK dhidi ya mamia ya waliokufa kwenye viroba na kutupwa baharini kwa miaka 5 kipindi cha Mwendazake
Nimeanza na kisusio 😀Leo umeamka na akili timamu
Mpaka saa 8 uhalisia wako utakuwa tayariNimeanza na kisusio 😀
Absolutely true.Hakuna uwezekano wa hali hiyo kuisha. Haya ni madhara ya kuacha chama kimoja kukaa madarakini muda mrefu, tena bila ridhaa ya wananchi. Ili chama hicho kiendelee kukaa madarakani, njia za kihalifu huwa na kinga yake kubwa.
Muda huo nitakuwa Mwenge jeshini Kwa mama Swai tukipata kile kinywaji Pendwa 🤣Mpaka saa 8 uhalisia wako utakuwa tayari
Nakubaliana na weweMuda huo nitakuwa Mwenge jeshini Kwa mama Swai tukipata kile kinywaji Pendwa 🤣
Haya mambo ya kuteka na Kutekwa tukiyachekea huwa Tabia na yatahamia kila mahali hadi Kwa akina Simba na Yanga, hadi kwa Wafanyabiashara tena hadi Kwa viongozi wa Dini
Mungu wa Mbinguni aingilie Kati Siasa za Teka Teka zifike mwisho
Wenzetu Kenya sasa wanateka Raia wa kigeni (Watalii) hali ni mbaya sana Tanzania tusifike huko
Nawatakia Dominica Njema 🌹
Najua wewe utakuwa Rau Madukani kama kawa 😀😀Nakubaliana na wewe
Peleka ujinga wako huko, mi nipo churchNajua wewe utakuwa Rau Madukani kama kawa 😀😀
Mnapoambiwa CCM imekwisha muwe mnaelewa, Haya ndio Matunda ya kuwaamini Chawa, hawa ndio wanapanga kila uchafu kwa kushirikiana na watu wa karibu wa viongozi.Haya mambo ya kuteka na Kutekwa tukiyachekea huwa Tabia na yatahamia kila mahali hadi Kwa akina Simba na Yanga, hadi kwa Wafanyabiashara tena hadi Kwa viongozi wa Dini
Mungu wa Mbinguni aingilie Kati Siasa za Teka Teka zifike mwisho
Wenzetu Kenya sasa wanateka Raia wa kigeni (Watalii) hali ni mbaya sana Tanzania tusifike huko
Nawatakia Dominica Njema 🌹
Endelea kujidanganya kwamba uko salamaHizo takataka zikienda hata kwa michepuko, zikapitiwa usingizi mpaka pakakucha hajarudi home, njia ya kujinasua ni kusema zimetekwa
Pale Yohana na Ben wanapojifanya ni watu tofauti, halafu wanajibishanaPeleka ujinga wako huko, mi nipo church
Mwenzako Steve Mengele amekataliwa na Wenye CCM yaoHizo takataka zikienda hata kwa michepuko, zikapitiwa usingizi mpaka pakakucha hajarudi home, njia ya kujinasua ni kusema zimetekwa
Na hizi damu anazomwaga atakuja kuzilipa kwa maumivu makali sanaI'm
Chura Kiziwi baada ya kushindwa kuongoza Sasa amekimbilia kwenye huo uwendawazimu wa kutekana. Labda anaona inaweza msaidia.
Madaraka Nyerere ni msukule wa familia, hana akili, anaona Steve anapiga bingo kwa jina la baba yake, kwa hiyo anaona wivu, mawaziri wanapokea simu ya Steve, hawapokei ya Madaraka.Mwenzako Steve Mengele amekataliwa na Wenye CCM yao
We bado unachochea mimaji ijaye kabla ya muhogo 🐼
Na Steve anapokea Simu ya Pdidy ndio Madaraka akampiga stop kujiita Jina la Mwenyeheri Julius Nyerere 🐼Madaraka Nyerere ni msukule wa familia, hana akili, anaona Steve anapiga bingo kwa jina la baba yake, kwa hiyo anaona wivu, mawaziri wanapokea simu ya Steve, hawapokei ya Madaraka.
Mwenyeheri wa Konyo, kwa uhalifu wa kuwashughulikia Khassim Hanga na wengineNa Steve anapokea Simu ya Pdidy ndio Madaraka akampiga stop kujiita Jina la Mwenyeheri Julius Nyerere 🐼
Umeiweka vizuri sana hii boss wangu.Excellent point. Nchi nyingi zilizoharibikiwa na kuwa failed states zilianza hivi hivi. Huku makundi ya machawa, kwa uzuzu wao, yakishabikia na kufurahia mwenendo huo yakifikiri ni suala la upande "wao" wenye nguvu za dola dhidi ya kundi fulani "adui" la upinzani wasio na uwezo wowote. Matokeo yalikuwa ni kuimarisha magenge ya watawala wanaotegemea ukatili na mauaji, magenge ambayo baadaye katika kugombania madaraka yakageukana na kuanza harakati za kuangamizana na kuangamiza taifa kwa ujumla.
No one has monopoly of violence, cruelty and killing. Tuendelee kutengeneza taifa la makatili na wauaji miongoni mwa ndugu, majirani na marafiki katika jamii yenye tamaa ya madaraka huku tukiendelea kuimba nyimbo mfu za kuombea amani na utulivu nchini. It's just a matter of time before this house of cards blows up into shards of real, apocalyptic misery.