Haiwezekani kushughulikiana kisiasa bila kutekana na kuumizana? Au mifumo ya kisiasa (kuvumiliana) imefeli?

Umeongea kwa hisia sana kaka kusema kweli haya matukio yanaumiza sanaa.
 
Hii ndiyo legacy ya lile dhalim la chato.
 
Yan minipo madarakani afu naskia mtu ananidis au kunisema. kwan ananitoa ngoz akinisema ? wengine hua wanasema ukweli mtupu ila wanaishia kufa au kuteswa hii sio haki ...
 
Kifupi ccm tangu aingie JPM hadi sasa wamechukua mkondo wa vurugu na kuhatarisha amani. Ni vile tu wanaodhulumiwa bado hawajasanuka!
Ipo siku watekaji watatekwa... Watesaji watateswa na wauaji nao watauawa!
Sudan! Somalia! Congo! Na kwingineko nao walianza hivi hivi!
 
Angalia Kenya, sio kwamba hawapo wasiojulikana ila Tz imezidi. Kenya wanafanya mambo yao kisomi na kiuungwana.
 
Angalia Kenya, sio kwamba hawapo wasiojulikana ila Tz imezidi. Kenya wanafanya mambo yao kisomi na kiuungwana.
Kenya wasiojulikana Wananaswa kwenye CCTV za barabarani wewe unasema wanafanya kisomi? 🐼🀣
 
Tatizo tuna rais asiye na sifa za urais, Makonda, mkwe wa rais na Abdul wanalazimisha rais akubalike na kupendwa
 
Wazanzibar wameingia kwa kishindo bara na wana hasira na watanganyika vibaya sana na mbaya zaidi wana ridhaa ya kushika mitutu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…