Hivi mtu kumiliki 49% ya hisa anakuwa anaumiliki wa timu nzima ?SHERIA KATI YA NCHI MOJA NA NYINGINE HUTOFAUTINA KULINGANA NA TAMADUNI AU MAZINGIRA. MFANO JAMAICA BANGI NI HALALI ILA HAPA TZ BANGI NI KOSA LA JINAI.
Kwa kumbukumbu zangu zamani kidogo yaan miaka kama 18 nyuma kulikuwa na mshauri wa michezo aliitwa PAPE. Yy alikuwa Mjerumani kipindi hiko TFF ikijulikana kama FAT chini ya NDOLANGA. Hizo sheria ziliwekwa miaka hiyo ili kudhibiti ulanguzi wa kimichezo. Sheria hiyo ilikuwa mahsusi kwa timu za ligi kuu tu. Na pale mtu akitaka kumiliki lazima wawepo angalau watu wa 3. Kwa hiyo basi zinaruhusiwa kumilikiwa na mashirika au makampuni mbalimbali lkn sio mtu mmoja.
Hii ilikuja mara baada ya ALEX KAJIMULO kuimiliki KAJIMULO FC. Hivyo kupelekea maamuzi yasiyo ya kimichezo zaidi juu ya timu yake. Hata azam haimilikiwi na BAKHRESA kama yeye bali kampuni yake ya AZAM hali hiyo pia ni kwa ALLIANCE nayo inamilikiwa na kampuni sio mtu mmoja.
Kuweka mambo sawa ni kwamba MO anachofanya ni kwamba anaichukua timu kama yake binafsi na sio kama MO INTERPRISSES. Hii hairuhusiwi kwa kufikia hizo % anachotakiwa ni kugawana hizo share equally au semi equally na wanahisa binafsi wengine ambao hawako familia moja na yeye.
Yaan yy achukue 17% ANOTINO Achukue 17% MANENGELO 15%.
Nilichoona hapa ni kwamba sheria hii haikutumika ama kwa kutokujua au kwa makusudi ili kufanikisha jambo fulani kisiasa.
All in all MO ameikuta simba as super brand ambayo kupitia hiyo anaweza kutanua wigo wa biashara zake kupitia matangazo ya kwenye jezi kama ilivyokuwa kwa KILIMANJARO PREMIER LAGER. utofauti ni kwamba TBL wao walikuwa wanatoa vifaa vya michezo na pesa kama mdhamini ila Mo yy anafanya kama mmiliki yaan anaandikia as ameadd up CAPITAL. Fluctuation Capital ambapo kila mwaka huziingiza as gharama zake na hutolea wakati anatafuta faida kitu ambacho si sahihi.
Nimechambua kama mwanamichezo na sio kama SHABIKI.
UKITAKA ELEWA USIPOTAKA ENDELEZA USHABIKI MAANDAZI
Hapo sawa, coz hisa 49 unataka wawekezaji 3 while ligi yenyewe tu haina mwekezaji sasa huyo mwekezaji wa kuwekeza kwenye timu anatokea wapi? ππ Yanga si hiyo mpaka leo inahangaika mbona hao wawekezaji wasiende kama ni rahisi hivyo?
Hapo kwenye kodi weka ada mkuu!Wanachama wenyewe hawa wanakaa na kadi wanaziangalia tu, hivi kwa reseach ya kawaida ni asilimia ngap ya wanachama wanalipa kodi yao ya uanachama?
Naye MO ni longo longo tu aliiachaje Timu ya yake ya African Lyon akakimbilia Simba kwenye figisu. Si mbaya akirudi tena African Lyon aiboreshe then ataona kama kuna mtu anamfuatafuata.muendelezo wa siasa michezoni,tatizo MO nae kichwa ngumu,aachane na hiyo simba anapoteza pesa zake bure tu,bora ajenge chuo cha ujasilimali au uifundi alete walimu wa kimarekani watoto wa masikini wasome humo bure kuliko kupoteza pesa kwa watu wasio na shukrani
Mwakyembe sidhani kama kafanya jambo hili bila baraka kutoka kwa raisNa wewe pumbavu kabisa, eti raisi hapendi urasimu huu wakati yeye ndiye chanzo
Kama hujui kitu kaa kimya
Tuliwaambia kuwa huyo Mzee Kilomoni hayupo peke yake mkatubishia na mkasema mtamkaba ili muipate hiyo hati, ona sasa. Halafu leo anabonge la Press Conference pale nyumbani kwake.Kilomoni alitangulizwa tuu
Maandalizi yote yamekamilikaTuliwaambia kuwa huyo Mzee Kilomoni hayupo peke yake mkatubishia na mkasema mtamkaba ili muipate hiyo hati, ona sasa. Halafu leo anabonge la Press Conference pale nyumbani kwake.
Hapana ila ww unakuwa mwenye nguvu regardless ya umiliki wa hisa pungufu ya 50% kwa maana mwenye 49% ni mmoja na wenye 51% ni wengi hivyo basi nguvu kubwa itaenda kwakeHivi mtu kumiliki 49% ya hisa anakuwa anaumiliki wa timu nzima ?
Kupitia Bakuli kama wale wenzenu wa Kariakoo. Anzeni kubuni Ndogo Kuliko!Inaonesha hawafurahii jinsi Mo anavyowakwepa kwenye upuuzi wao.
Sportpesa watasepa sijui simba itajiendesha vipi
Wauze hisa zao kwenye soko la hisa ili wanachama wajimwage kama kweli taarifa zao za fedha zinaonyesha ufanisi wa kifaida vinginevyo hata huyo aliyekuwa tayari kuwekeza 49% huenda ni mapenzi yake kwa klabu na si matazamio ya faidaHii ni taarifa kutoka kwa Mh Waziri wa Michezo Mh Harisson Mwakyembe , ambapo amedai ili kumiliki hisa zinazofikia 49% za club ya soka basi hakuna budi wawekezaji hao kuwa angalau watatu na si mmoja , yaani club itamiliki 51% wawekezaji watamiliki 49 %
Tamko hili limetoka wapi na limelenga nini ?
Mara anaweza kununua bank na hiyo 20bJamaa nae amejivuta mno weee kuweka mzigo kila siku wanamwambia weka mzigo mara oooh sijui mambo gani hayajakaa sawa mara anavutana na wajumbe wa bodi ona sasa kakutilizwa na mzigo hajaweka kwa hiyo hana la kufanya zaidi ya ku-comply na matakwa ya maelekezo mapya ya serikali. angekuwa ameshaweka mzigo hizo 49 akawa ameziweka mkononi wasingekuja
Ndio maana mzee kilomoni anajihamini sanaMwakyembe sidhani kama kafanya jambo hili bila baraka kutoka kwa rais
Kumbuka pia rais kakutana na mzee kilomoni , muda si mrefu
Hivi kwenye zile clip walikua wanasema jamaa ni mshamba sana eti [emoji28]
Kwahiyo hoja yako ya Mo kutaka kumiliki timu nzima peke siyo sahihi ?Hapana ila ww unakuwa mwenye nguvu regardless ya umiliki wa hisa pungufu ya 50% kwa maana mwenye 49% ni mmoja na wenye 51% ni wengi hivyo basi nguvu kubwa itaenda kwake
Ukiwa na muhemuko wa MO uwezi kuelewa kinachoongelewa.Hiyo sheria unayoisema imetungwa lini au unaropoka tu ?
Nijuavyo Mimi haya aliyatoa kama maoni yake na bado shirikisho BMT hawajaipitisha katika Sera ya michezo.
Hapana ila ww unakuwa mwenye nguvu regardless ya umiliki wa hisa pungufu ya 50% kwa maana mwenye 49% ni mmoja na wenye 51% ni wengi hivyo basi nguvu kubwa itaenda kwake
Sio wa Iran?muendelezo wa siasa michezoni,tatizo MO nae kichwa ngumu,aachane na hiyo simba anapoteza pesa zake bure tu,bora ajenge chuo cha ujasilimali au uifundi alete walimu wa kimarekani watoto wa masikini wasome humo bure kuliko kupoteza pesa kwa watu wasio na shukrani