Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uelewa wako ni mdogo sana.. ni hivi ikiwa mmegawana hisa mtu mmoja akapata 49% peke yake na nyie mko 1000 mkapata 51% nani anakuwa na hisa nyingi kwenye umiliki?Kwahiyo hoja yako ya Mo kutaka kumiliki timu nzima peke siyo sahihi ?
Ndio na ndio maana hata ile body iko controlled na MO.. kitu ambacho hakitakiwi kwenye kampuni kama ile.Na sheria ipi ilitumika mpaka akawa na hisa 49% ?,bodi yao iliamua tu wakapeana hisa ?
Mimi siyo mfuasi wa Mo mimi ni mfuasi wa hakiUkiwa na muhemuko wa MO uwezi kuelewa kinachoongelewa.
Hakutoa km maoni yake pale kasimama km serikali na ndio kaagiza BMT kufanyia kazi.
Mimi uelewa wangu ni mkubwa kuliko ukoo wenu wote.Uelewa wako ni mdogo sana.. ni hivi ikiwa mmegawana hisa mtu mmoja akapata 49% peke yake na nyie mko 1000 mkapata 51% nani anakuwa na hisa nyingi kwenye umiliki?
Hebu rudia kusoma hiyo paragraph yako ya tatu mpaka ya nne uone ulichokiandika?SHERIA KATI YA NCHI MOJA NA NYINGINE HUTOFAUTINA KULINGANA NA TAMADUNI AU MAZINGIRA. MFANO JAMAICA BANGI NI HALALI ILA HAPA TZ BANGI NI KOSA LA JINAI.
Kwa kumbukumbu zangu zamani kidogo yaan miaka kama 18 nyuma kulikuwa na mshauri wa michezo aliitwa PAPE. Yy alikuwa Mjerumani kipindi hiko TFF ikijulikana kama FAT chini ya NDOLANGA. Hizo sheria ziliwekwa miaka hiyo ili kudhibiti ulanguzi wa kimichezo. Sheria hiyo ilikuwa mahsusi kwa timu za ligi kuu tu. Na pale mtu akitaka kumiliki lazima wawepo angalau watu wa 3. Kwa hiyo basi zinaruhusiwa kumilikiwa na mashirika au makampuni mbalimbali lkn sio mtu mmoja.
Hii ilikuja mara baada ya ALEX KAJIMULO kuimiliki KAJIMULO FC. Hivyo kupelekea maamuzi yasiyo ya kimichezo zaidi juu ya timu yake. Hata azam haimilikiwi na BAKHRESA kama yeye bali kampuni yake ya AZAM hali hiyo pia ni kwa ALLIANCE nayo inamilikiwa na kampuni sio mtu mmoja.
Kuweka mambo sawa ni kwamba MO anachofanya ni kwamba anaichukua timu kama yake binafsi na sio kama MO INTERPRISSES. Hii hairuhusiwi kwa kufikia hizo % anachotakiwa ni kugawana hizo share equally au semi equally na wanahisa binafsi wengine ambao hawako familia moja na yeye.
Yaan yy achukue 17% ANOTINO Achukue 17% MANENGELO 15%.
Nilichoona hapa ni kwamba sheria hii haikutumika ama kwa kutokujua au kwa makusudi ili kufanikisha jambo fulani kisiasa.
All in all MO ameikuta simba as super brand ambayo kupitia hiyo anaweza kutanua wigo wa biashara zake kupitia matangazo ya kwenye jezi kama ilivyokuwa kwa KILIMANJARO PREMIER LAGER. utofauti ni kwamba TBL wao walikuwa wanatoa vifaa vya michezo na pesa kama mdhamini ila Mo yy anafanya kama mmiliki yaan anaandikia as ameadd up CAPITAL. Fluctuation Capital ambapo kila mwaka huziingiza as gharama zake na hutolea wakati anatafuta faida kitu ambacho si sahihi.
Nimechambua kama mwanamichezo na sio kama SHABIKI.
UKITAKA ELEWA USIPOTAKA ENDELEZA USHABIKI MAANDAZI
Hoja yako ilikuwa kumiliki timu peke yake kwahiyo akiwa majority shareholder anakuwa amemiliki timu peke yake ?Hapana ila ww unakuwa mwenye nguvu regardless ya umiliki wa hisa pungufu ya 50% kwa maana mwenye 49% ni mmoja na wenye 51% ni wengi hivyo basi nguvu kubwa itaenda kwake
Kwa sheria ipi ?Ndio na ndio maana hata ile body iko controlled na MO.. kitu ambacho hakitakiwi kwenye kampuni kama ile.
Hapa hutakaa ueleweke, nashangaa 51% haizungumzwi ila 49% ni shida hapa ndio utajua wabomoajiUelewa wako ni mdogo sana.. ni hivi ikiwa mmegawana hisa mtu mmoja akapata 49% peke yake na nyie mko 1000 mkapata 51% nani anakuwa na hisa nyingi kwenye umiliki?
😆😆😆😆siasa na michezo wap na wap maskin Tanzania nchi yangu phd holder
Halafu hawa Mikia Fc wakati Manji anabanwa na serikali, Mikia walikuwa wanachekelea, leo MO kabanwa wanaharisha, wako hoi ICU, sasa mbona hamchekelei kama mlivyochekelea wakati Manji anabanwa?Mbumbumbu fc leo hawapata usingizi kabisa kisa tu hili tamko la mwakyembe linamlenga mume wao mo
Ndio maoni ya wasomi wetu haya!! Zero kabisa, huyu mtu wa darasa la pili mbona inaonekana anafikiria vizuri kuliko wewe ambaye unajinasibu umesoma.PhD yake haikusaidii kwasabb uelewa wako ni wa darasa la pili ..itakuwa ngumu sana kwako kumuelewa mwenye PHD. Ushauri rudi Shule ukuze ufahamu wako
MKUU MO ANAPOWEKEZA HIZO PESA NANI ANACHUKUA AS PART OF CAMPENSATION YA KULOOSE PART YA ILE KAMPUNI.? JE WANACHAMA WOTE WATAPATA GAWIO LA UUZAJI WA HISA? KWA MAANA KWENYE KAMPUNI MWENYE HISA HUAMAMUA KUUZA HISA ZAKE ILI APATE HELA FULANI. JE HUYO MO HIZO PESA NANI ATAMKABIDHI ZILE HASA ZA KUFIDIA UMILIKI WA TIMU? Kama ataweka tu mtaji wake means kwamba simba anaichukua bure kwa maana yy ameweka mtaji tu kama kukuta kibanda hakina mtu ukaanza kuuza bidhaa zako.Ndio maoni ya wasomi wetu haya!! Zero kabisa, huyu mtu wa darasa la pili mbona inaonekana anafikiria vizuri kuliko wewe ambaye unajinasibu umesoma.
Hiyo shule unayo mwambia arudi akasome inaonekana hata wewe imeshindwa kuku komboa kifikra.
Msituharibie mpira wetu!
Siasa kafanyieni kwenye majukwaa yenu ya ccm,chadema, cuf,act nk;