Haiwezekani mtu mmoja kumiliki hisa 49% - Mwakyembe

Umeongea vyema sana
 
Aisee inatia uchungu sana. Simba ilikuwa kimya ndani ya miaka hii miwili wakati Mo anatumbukiza zaidi ya bilioni tatu mpaka timu inafika makundi ya CAF. Lakini ghafla tu baada ya magazeti kuandika kuwa zawadi ni bilioni 1.5 aisee ghafla Kilomoni kaibuka na nguvu kubwa ajabu kumbe kuna genge linalomsapoti. Ngoja turudi kwenye usajili wa akina Hamisi Kiiza, Nserekuma, komabili keita, na lile jamaa refu Pape Ndaw lilokutwa na hirizi kiunoni ndio akili zitarudi vizuri kichwani. Na hapo timu za Tanzania zitakuwa ni mbili badala ya nne, mahoteli badala ya kupokea timu nne za nje kuongeza mapato sasa zitakuwa zinapokea timu mbili tu tena raundi ya kwanza timu za Tanzania zishatolewa. Sijui haya madhara yote watu hawayaoni?
 
Halafu Katibu wa BMT Ndugu Kiganja ameshatoa tamko la Serikali kusitisha michakato ya kubadili mfumo wa timu. Amesema endapo mtu anataka kumiliki timu aanzishe ya kwake. Timu za wanachama zibaki kwa wanachama tu.
 
Lini katoa hili tamko ?
 
Hujaweka namba yako ya simu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…