Haiwezekani mtu mmoja kumiliki hisa 49% - Mwakyembe

Haiwezekani mtu mmoja kumiliki hisa 49% - Mwakyembe

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii ni taarifa kutoka kwa Mh Waziri wa Michezo Mh Harisson Mwakyembe , ambapo amedai ili kumiliki hisa zinazofikia 49% za club ya soka basi hakuna budi wawekezaji hao kuwa angalau watatu na si mmoja , yaani club itamiliki 51% wawekezaji watamiliki 49 %

Tamko hili limetoka wapi na limelenga nini ?
 
Serikali nayo inatakiwa iwe inawapa pesa hizi timu coz haina maana kuweka masheria magumu while timu hazina uchumi wowote, hazina kipato chochote, sasa kwa mfano watu wa aina ya MO wakisusa wote je serikali itakuwa na uwezo wa kuchangia anything?
 
Jibu ni hakuna

Mbumbumbu fc leo hawapata usingizi kabisa kisa tu hili tamko la mwakyembe linamlenga mume wao mo
Hii ndiyo tatizo la ukiwa chooni badala ya kutoa nnya....wewe unatoa ubongo kisha unapandisha nnya kichwani,matokeo yake unaishia kuwaza kianaz anaz tu na posts zako ni kifag'fag tu.Emhu kaa mbali,usiambukize ujinga.
 
Sasa anasemaje haiwezekani Kwani si ni idadi ya hisa zinazouzwa au kama ni sheria inakataza ni sababu gani sheria inakataza kuna ubaya gani au ndo hizo sheria wanazotuka kwa miswada ya dharura. Yaani Waziri ana Phd lakini kama vile haitusaidii kabisa kwenye michezo. Kwenye sanaa nako makatazo tu kwenye michezo nako hivo hivo wakati inafahamika kuwa uwekezaji kwenye michezo ni wa kusuasua angalau Simba inaonekana kupiga hatua naona serikali anataka kuanzisha figisu figisu ili MO ajiondoe timu ianze kuhangaika. Sijui nani aliyetuloga.
 
Serikali nayo inatakiwa iwe inawapa pesa hizi timu coz haina maana kuweka masheria magumu while timu hazina uchumi wowote, hazina kipato chochote, sasa kwa mfano watu wa aina ya MO wakisusa wote je serikali itakuwa na uwezo wa kuchangia anything?
Mkuu. serikali wanafurahia migogoro ya simba na yanga,

Yote hayo ni kuwadhibiti wenye hela zao
 
muendelezo wa siasa michezoni,tatizo MO nae kichwa ngumu,aachane na hiyo simba anapoteza pesa zake bure tu,bora ajenge chuo cha ujasilimali au uifundi alete walimu wa kimarekani watoto wa masikini wasome humo bure kuliko kupoteza pesa kwa watu wasio na shukrani
Hata Mimi namshangaa sana
 
Back
Top Bottom