Nahonyo
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 5,550
- 5,379
Kama unaamini Mungu yupo, kwanini usiamini uwezo wake wa kuamua.Sijasema Mungu hayupo Mkuu.
Najaribu kueleza kuwa Shetani na Mungu ni mhusika mmoja katika kazi mbili kinzani kama vile kisogo na uso
Mungu, amemuumba binadamu akampa akili na maarifa mengi ili kuja kuutwala ulimwengu, mbele ya viumbe hai wengine wanaonelana.
Hivyo kutokana na akili na maarifa aliyompa, alimpa mipaka yapi ya kufanya na yapi si ya kufanya, ndipo kuna pepeni kwa mtenda mema, na kuna motoni kwa mtenda mabaya.
Mfano wa mema, kumsaidia mwenzio anaepitia nyakati ngumu, kwa hali na mali.
Mfano wa mabaya, kama kile kitendo cha wale vijana watono kumbaka yule binti, ila kitendo kilekile kinafanyika kwa mbwa, ns wala siyo kosa.
Mbwa jike likichanua midume hata kumi hufamia na hamna shida kwao.