Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
Haitakaa hata siku Moja wazungu wakakaa na Watanzania kumsaidia uchumi wa nchi bali watakaa watanzania na wazungu kuua uchumi wa nchi. Kwasababu kama wangekuwa na nia ya kuisaidia Tanzania wangeisaidia siku nyingi sana. Tanzania haiwezi kuwa na uchumi imara kwasababu wananufaika na umasikini na uchumi mbovu wa Tanzania.
1.Tanzania ni soko lao la bidhaa.
2.Tanzania wanachukua Madini bure
3.Tanzania wanauza Silaha
4.Tanzania wa Hawana umeme nafuu kwahiyo haivutii kwa uwekezaji.
5 Tanzania Haina Technologia hivyo ni sehemu sahihi ya kuuza technology.
6.wavuna gas bure na kuiuzia serikali.
7.wanawarubuni viongozi na ku sign mikataba mibovu.
8.Wanataka kupigiwa magoti kwa misaada ambapo wanapitisha sera zao.
9.Tanzania ni soko la ajira Kw wstaalamu wao.
10........
Tanzania tusipojichetua wenyewe hakuna ambalo hatutaona.