Haiwezekani Serikali nzima iwe inakusanya mapato; tutajenga taifa la watu maskini na fukara!

Nchi ipo katika Wakati Mgumu kuwahi kutokea.

Msumeno unakata kotekote,

Huko Lumumba nyie mlijiona mko salama sana.

Kumbe wengi ndiyo wakwepa kodi wakubwa.
 
Tundu Lisu alijificha ubalozi wa Ujermani tofauti na yule mpambanaji wa ukweli wa Afrika mashariki Bob Wine!
We hujui Kama alishatoa kafala ya kupigwa risasi 16 ili we upate kumuunga mkono kwa maandamano. Ulitaka Tena afanye Nini zaidi ya zile risasi au we unaona kupigwa risasi kawaida tu. Zinduka we kijana fight haki zako achana na kulalamika mitandaoni hakukusaidii
 
Excellent excellent mchango wa tehama unatakiwa uwe 30% mh waziri huku kwenye madaladala wangelistahili aina fulani ya mashine za kukatia tiketi ambazo ambazo zitatoa tiketi yenye shuru za serekali zilizokatwa ingependeza dili la hizi mashine mkanipatia mimi
 
Mbona nyie hapo Ufipa hamjamuunga mkono kwa maandamano?
 
Mbona nyie hapo Ufipa hamjamuunga mkono kwa maandamano?
Kwani we haya manyanyaso nchini huyaoni mpaka ufipa ndo wayaone. Au wewe unaishi nje ya tanzania. Au we bujafikiwa ndo Mana unaona hata wengine wakichinjwa sawa tu ilimradi we unaenjoy life. Acha ubinafsi. Lisu alitaka kuwakomboa wote siyo chadema tu
 
Nchi ujengwa kwa kuchochea uzalishaji na sio kukazania kukusanya tu hio nchi ni lzm ife kabisa kiuchumi.
Unaua sekta binafsi kisha utegemee kukusanya toka wapi.
Kutegemea kukopa na kukazania kukusanya tu Kodi lzm nchi ifilisike.
Kiongozi mchumi udili na kuzalisha zaidi na sio mikopo na kukusanya tu
 
Haya mambo aliyasema Nyerere, utaishia kufukuzana na wauza nyanya kama hiyo akili ya kustawisha biashara na uwekezaji ili ukusanye kodi haipo.
 
Kimsingi kazi ya kukusanya na kusimamia mapato ya Serikali ni ya Wizara ya fedha na taasisi zake..
Watu wengi nchini wanatafuta kumudu maisha bora wenye kutafuta utajiri inabidi wachacharike nakutumia akili zaidi maana awamu hii inahitaji uwajibikaji mbele ya sheria kwa kila mtu.
 
Kumbe mkuu johnthebabtist Kuna siku akili zinakurudi eeh!
 
Tupo kwa mchina sasa
 
Tupo kwa mchina sasa
Tulimkataa mwanzoni tumemrudia.

Mchina angejenga SGR kwa gharama nafuu kwa pesa zake akatukabidhi deni,tukampa Mturuki ambae hana pesa kaenda kukopa pesa kwa Mchina kwa riba plus riba ya Mturuki sisi wanyonge ndo tunalipa riba hizo Mbili,thus tunakamuliwa kila kona mara drone, ufugaji kuku,sijui kila siku ni Kodi kuliko hata enzi ya mkoloni.

Ilishaurika kwamba tujenge kiwanda cha chuma Ili kupunguza gharama za miradi kwa maana nondo,mataruma kwa ajili ya reli nondo miradi mingine Ili kuzuia pesa ziende nje zinauwa uchumi na kufanya maisha ya watu yawe magumu.But sikio la kufa linalojua KILA kitu ambalo ufanya makosa kwanza ndilo linajifunza badala ya kujifunza Ili usipate hasara ambalo uamini kushaurika ni udhaifu limejikuta limerudi palepale.
 

hio haki unapigania ndo ipo hio? hutaki kulipa kodi ama, ama mtu akishajitoa uhai ndo mnamwona shujaa, chama cha kutoa watu uhai daah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…